Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,057
- 1,868
Waarabu kwa ubaguzi nimewavulia kofia.Ukweli mchungu
Haijuzu kwa muislamu mwanamme na mwanamke kushirikiana na manaswara au mayahudi au makundi mengine katika sikukuu zao. Ni wajibu kuacha hilo kwa kuwa [Mtume amesema]:
“Mwenye kujifananisha na watu basi yeye ni miongoni mwao.”
. Ni juu ya muumini mwanamme na mwanamke kujiepusha na hilo wala wasihudhurie katika sikukuu zao kwa chochote
Huo ndio Ukweli mchungu
Kuna uzi humu sikumbuki heading yake ila content ina ujumbe kuwa; muislam hatakiwi kula futari iliyoandaliwa na mke ambaye hajafunga nae ndoa, nadhani kwa mantiki hii unatakiwa usimpelekee kwakuwa haijaandaliwa na mkewe, ila mdau akauliza, je futari inayouzwa migahawani yote imeandaliwa na walioolewa kwa ndoa halali?Mimi ni mkristo na kama mjuavyo tutakuwa na sikukuu ya pasaka siku ya jumapili.
Sasa swali linaloniumiza kichwa ni hili, kuna rafiki yangu tunafanya kazi pamoja, pia ni majirani. Mimi nimeoa ila yeye yuko single na amefunga mwezi huu Ramadhan.
Je naweza kumwalika nyumbani kama kumfuturisha hiyo siku ya jumapili? Au naweza kumpelekea chakula hiyo siku jioni badala ya kuja home?
Au niksushe tu? Msaada wenu tafadhali.
Hap
Hapo inategemeana na chakula chako umepika kwa ajili ya nini?kama ukimwambia hiki chakula ni kwa ajili ya pasaka,kama ni Muisilamu Kweli wa Imani na Elimu hawezi kula,sababu hapo imeshaingia shiriki,yaani umemuingiza Mwenyezi Mungu wake na sikuku ya kipagani.
Lakini kama utapika Simple tu,bila kukishirikisha na kitu chochote atakula,maana hamna tofauti na mtu anayepika chakula kwa ajili ya mizimu,hiyo pasaka siyo shere ya Mwenyezi Mungu
Je hatuoni kama tunabaguana wakati uislamu unahubiri amani na upendo ambayo ni maagizo ya Mungu?Ukweli mchungu
Haijuzu kwa muislamu mwanamme na mwanamke kushirikiana na manaswara au mayahudi au makundi mengine katika sikukuu zao. Ni wajibu kuacha hilo kwa kuwa [Mtume amesema]:
“Mwenye kujifananisha na watu basi yeye ni miongoni mwao.”
. Ni juu ya muumini mwanamme na mwanamke kujiepusha na hilo wala wasihudhurie katika sikukuu zao kwa chochote
Huo ndio Ukweli mchungu
Ujamuekewa huyo aliecoment; kupikiwa futari na mwanamke usiemuoa hapa alikua na maana ya (Kimada).Kuna uzi humu sikumbuki heading yake ila content ina ujumbe kuwa; muislam hatakiwi kula futari iliyoandaliwa na mke ambaye hajafunga nae ndoa, nadhani kwa mantiki hii unatakiwa usimpelekee kwakuwa haijaandaliwa na mkewe, ila mdau akauliza, je futari inayouzwa migahawani yote imeandaliwa na walioolewa kwa ndoa halali?
Tatizo sio kubaguani,ukinikalibisha katika siku za kawaida nitakuja kula,ugumu unaokuja kile chakula chá sikuku umeshakitolea kwa jili ya hiyo Miungu ya hizo sikukuJe hatuoni kama tunabaguana wakati uislamu unahubiri amani na upendo ambayo ni maagizo ya Mungu?
Nadhani tafsiri ya chakula cha wakristo ni kula na kufurahi pamoja, tofauti na ile ya Idd ya sadaka ya kuchinjaTatizo sio kubaguani,ukinikalibisha katika siku za kawaida nitakuja kula,ugumu unaokuja kile chakula chá sikuku umeshakitolea kwa jili ya hiyo Miungu ya hizo sikuku
Sikuku za Kiisilamu tumeamlishwa na Mwenyezi Mungu zipo toka enzi na enzi,mfano sikuku ya kuchinja tunamfuata babá yetu IbrahimuNadhani tafsiri ya chakula cha wakristo ni kula na kufurahi pamoja, tofauti na ile ya Idd ya sadaka ya kuchinja
Naam mafundisho hayo yapo kwa wakristo pia na Mungu wa Ibrahim ndiye Mungu wetu woteSikuku za Kiisilamu tumeamlishwa na Mwenyezi Mungu zipo toka enzi na enzi,mfano sikuku ya kuchinja tunamfuata babá yetu Ibrahimu
Sasa kwanini mnasherekea X-maas na pasaka?Naam mafundisho hayo yapo kwa wakristo pia na Mungu wa Ibrahim ndiye Mungu wetu wote
Ni maadhimisho na kumbukumbuSasa kwanini mnasherekea X-maas na pasaka?
Inategemea na akili ya huyo muislamu mwenyewe.Mimi ni mkristo na kama mjuavyo tutakuwa na sikukuu ya pasaka siku ya jumapili.
Sasa swali linaloniumiza kichwa ni hili, kuna rafiki yangu tunafanya kazi pamoja, pia ni majirani. Mimi nimeoa ila yeye yuko single na amefunga mwezi huu Ramadhan.
Je naweza kumwalika nyumbani kama kumfuturisha hiyo siku ya jumapili? Au naweza kumpelekea chakula hiyo siku jioni badala ya kuja home?
Au niksushe tu? Msaada wenu tafadhali.
Tatizo linalokuja huyo mbuzi kachinjwa kwa ajili ya pasaka au xmass,maana sawa na kusema wewe Muisilamu ukale vyakula vya matambikoInategemea na akili ya huyo muislamu mwenyewe.
Ila kama ni mimi sioni tatizo kula chakula cha mkristo au akinifuturisha sioni tatizo kabisa.
Kwa sababu mtume alialikwa mbuzi na mtu asiyekuwa muislamu akaenda kula lakini haikuwa mwezi wa ramadhani.
Kitendo cha mtume kuitikia wito huo kinaonesha kwamba hilo ni jambo zuri hata kama halikufanyika ndani ya ramadhani.
Na jambo zuri linwlofaa nje ya ramadhani maana yake linafaa pia kufanyika ndani ya ramadhani..
Sasa mkuu sijui huyo rafiki yako yeye ana falsafa gani katika uislamu,msikilize yeye atalipokea vipi.
Waislam wajinga labda. Miaka ya nyuma huo ujinga haukuwepo. Wote kwa imani zetu tulishirikiana katika sikujui zetu. Huu Udini ni wa juzi juzi tu.Ni msimamo wa waislamu walio wengi kuwa sikukuu za tofauti na dini zao kushiriki kwa namna yeyote ile ni dhambi
Mimi ni Muisilamu familia yangu ni wakristo,wanapokusanyika kwenye sherehe zao huwa siudhurii sababu sisi waisilamu tunasherehe zetu alizotupa Mwenyenzi Mungu,Iddy kubwa na Iddy ndogo
Mimi binafsi nakula hiko chakula kama ni cha halali kuliwa.Tatizo linalokuja huyo mbuzi kachinjwa kwa ajili ya pasaka au xmass,