josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 640
Mimi ni mkristo na kama mjuavyo tutakuwa na sikukuu ya pasaka siku ya jumapili.
Sasa swali linaloniumiza kichwa ni hili, kuna rafiki yangu tunafanya kazi pamoja, pia ni majirani. Mimi nimeoa ila yeye yuko single na amefunga mwezi huu Ramadhan.
Je naweza kumwalika nyumbani kama kumfuturisha hiyo siku ya jumapili? Au naweza kumpelekea chakula hiyo siku jioni badala ya kuja home?
Au niksushe tu? Msaada wenu tafadhali.
Ni msimamo wa waislamu walio wengi kuwa sikukuu za tofauti na dini zao kushiriki kwa namna yeyote ile ni dhambi
Wee kweli Kovu.....Ni msimamo wa waislamu walio wengi kuwa sikukuu za tofauti na dini zao kushiriki kwa namna yeyote ile ni dhambi
Mzee wangu sisi waislam tumefundishwa upendo kwa kila mtu so hatuwezi kushelekea ckukuu zenu za kiiman tu lakin kumpelekea muislam chakula hilo liko gud kabsa wala hakuna shida!! Mpeleke na atapokea na kukila pia lakin hawezi kuja kwenye sherehe kma hii ya pasaka cjui xmassMimi ni mkristo na kama mjuavyo tutakuwa na sikukuu ya pasaka siku ya jumapili.
Sasa swali linaloniumiza kichwa ni hili, kuna rafiki yangu tunafanya kazi pamoja, pia ni majirani. Mimi nimeoa ila yeye yuko single na amefunga mwezi huu Ramadhan.
Je naweza kumwalika nyumbani kama kumfuturisha hiyo siku ya jumapili? Au naweza kumpelekea chakula hiyo siku jioni badala ya kuja home?
Au niksushe tu? Msaada wenu tafadhali.
Hapo inategemeana na chakula chako umepika kwa ajili ya nini?kama ukimwambia hiki chakula ni kwa ajili ya pasaka,kama ni Muisilamu Kweli wa Imani na Elimu hawezi kula,sababu hapo imeshaingia shiriki,yaani umemuingiza Mwenyezi Mungu wake na sikuku ya kipagani.Mimi ni mkristo na kama mjuavyo tutakuwa na sikukuu ya pasaka siku ya jumapili.
Sasa swali linaloniumiza kichwa ni hili, kuna rafiki yangu tunafanya kazi pamoja, pia ni majirani. Mimi nimeoa ila yeye yuko single na amefunga mwezi huu Ramadhan.
Je naweza kumwalika nyumbani kama kumfuturisha hiyo siku ya jumapili? Au naweza kumpelekea chakula hiyo siku jioni badala ya kuja home?
Au niksushe tu? Msaada wenu tafadhali.
Peleka hii atakuwa kaimiss sanaMimi ni mkristo na kama mjuavyo tutakuwa na sikukuu ya pasaka siku ya jumapili.
Sasa swali linaloniumiza kichwa ni hili, kuna rafiki yangu tunafanya kazi pamoja, pia ni majirani. Mimi nimeoa ila yeye yuko single na amefunga mwezi huu Ramadhan.
Je naweza kumwalika nyumbani kama kumfuturisha hiyo siku ya jumapili? Au naweza kumpelekea chakula hiyo siku jioni badala ya kuja home?
Au niksushe tu? Msaada wenu tafadhali.
Kusherekea ikiwa ni pamoja na kula chakula'kushiriki' ki vipi?