hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,250
- 26,641
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI
Ambayo yanakupeleka jehanam
Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye akasilimu, akauchamba Ukristo kila kona hadi Zanzibar akimtetea hadi Idd Amin Dada kuwa ni muislamu bora aliyeondolewa na Nyerere kwa agizo la kanisa.
Hapo akiwa Zanzibar. Wakristo tulipata shida, maana hatukujua lugha yenu ama vitabu vyenu ambavyo vimejawa na mazito lukuki. Ashukuruwe Dr. Kaisi aliyeenda kuusoma Uislamu Cairo Misri, akatuletea mazito. Ashukuriwe pia Simba Uranga aliyejitokeza kutwaa hoja kwa Kaisi na kusimamisha mnakasha wa kwanza pale Kawe. Waislamu walipigika kwa hoja wakakimbilia polisi kuzuia mnakasha na polisi wakasema Quran wala vitabu vya kislamu visitumike kwa shinilizo la Waislamu.
Kanisa likaingilia kati na wao wasitumie Biblia. Mwisho wakakosa cha kuhubiri ikabidi warejee kwa hoja. Maana mihadhara ya Waislamu hainogi bila Biblia. Tokea hapo, Waislamu hawana cha kumtisha Mkristo msomi, maana utandawazi umeleta vitabu kwa wepesi zaidi. Mdahalo nilioandaa katiks uwanja wa TP Manzese, Shafii alikataa vitabu ikiwemo Araiq al Maktum na Mkweli Mwaminifu akitaka Quran tu ndio itumike. Ni aibu kuogopa vitabu vyenu wenyewe. Msemo wa wahenga unasema usirushe mawe kwenye nyumba ya zege na chuma huku unaishi kwenye nyumba ya vioo.
Wiki hii nimechokonoa kidogo Uislamu kwa vitabu vyao wenyewe, matusi yametapakaa kama mvua hapa na inbox na kunitishia maisha badala ya kujibu hoja. Wanajisaulisha kwamba wahadhiri wao kila siku wapo bize na Ukristo kuliko Uislamu. Tena wanausemea mabaya ikiwemo kumwita mtume Paulo ni shoga na alizalishwa mtoto anayeitwa Onesmo. Sisi wala hatuna muda wa matusi, zaidi ya kujibu hoja zao. Ingawa wapo Waislamu waungwana ambao wanavumilia na kujenga hoja ila ni kwa asilimia chache.
Muislamu
Quran inakutaka ujibu hoja kwa hoja na kwa hekima kama ifuatavyo;
1. Mjadala ufanyike kwa hekima na upole
Qur’an 16:125
"Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora..."
Aya hii inaonyesha kwamba mjadala unaruhusiwa, lakini usiwe wa ugomvi matusi au kejeli; unapaswa kuwa wa hekima na heshima.
2. Mjadala na Ahlul Kitab (Wenye Kitabu – Wayahudi na Wakristo)
Qur’an 29:46
"Wala msijadiliane na Wenye Kitabu ila kwa njia iliyo bora, isipokuwa wale wanaodhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu; na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja..."
Hii inaonyesha kuwa Waislamu waliruhusiwa kujadiliana na Wakristo na Wayahudi kwa heshima, na kwa njia bora isiyo na vurugu.
3. Mjadala wenye hoja za wazi
Qur’an 3:64
"Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: tusiabudu ila Mwenyezi Mungu pekee, wala tusimshirikishe na chochote..."
Qur’an inafundisha mjadala wa kutafuta hoja ya msingi badala ya mfarakano.
Mimi
Nakuruhusu katika ukurasa wangu huu ukosoe imani yangu kwa hoja. Ukitusi au kutishia ni dhahiri umeshindwa hoja na itakuwa ni kwa hasara yako. Katiba yetu katika ibara ya 19 inaruhusu kutangaza dini, kuhama dini nk. Msikalie kutuita makafiri huku hilo neno linaweza kuwa juu yenu pia. Hoja yangu kwenu leo ni:
Uislamu ni Upagani wa kisasa uliopora Upagani wa Makureshi. Haya leteni hoja.