Waislam wakutana Mwembeyanga na kuazimia kuinyima kura CCM 2015

Status
Not open for further replies.
wanafiki hao nani asiyejua kama ccm nichama cha kiislamu?kimewawekea uislam ndani ya benk,japo 95% hawajui kinachoendelea,(mbulula)kimewawekea nembo ya viwango ya kiislam ktk bidhaa badala ya tbs-(halal)
 
Dhaifu mmoja hapo juu ameandika kwamba eti Paulo mtume ndo alotudanganya wakristo,Paulo aliandika juuyamambo aliyoyaona ili nasi tujekuyasoma,lakini Mhamadi aliokota kitabu njiani akatangaza kwamba kimetelemshwa toka mbinguni,na kwauoga kuwa hatoaminika akaweka 'sharia' kali kwamba atakaepinga achinjwe.
 
Mkutano wa Waislamu ulikuwa ukifanyika Mwembeyanga siku ya leo, pamoja na maazimio mengine; umeamua kuwa waislamu wote wasiipe kura CCM 2015 lakini vile vile wametangaza kuratibu maandamano nchi nzima kupinga kile waliichokiita uonevu dhidi ya Sheikh Ponda...

Source: Aloyce Mpandama (The Guardian Reporter) Eneo la Tukio

Waislam tuna vyanzo vyetu vya habari sio hivyo vya kikafiri,adui yetu mfumo kristo aijalishi chama gani,wewe umetumwa na shekhe Slaa mwambie asihofu atapata kura za waislam yeye ndio mtetezi na mkombozi wa waislam

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nyinyi wakiristo ndo mko sawa kila siku maaskofu wanalawiti watoto makanisani

mnageuzwa mtaji na kina kakobe

kibwetele kawatoa kafara

kutwa wachungaji wanaukana ukiristo na kusilimu lakini nyinyi hamjiulizi mbona mashehe hawawi wkiristo? Chezea utahira ww!!!

shekh shahatah shajir"chini ya mti" mchungaji mzuri sana "hatari sana shekh"
 
Hii haitoshi, hawaipi kura CCM halafu wanampa nani? Binafsi naunga mkono huo msimamo, lakini napendekeza wakipe kura chama cha upinzani chenye uwezekano mkubwa zaidi wa kuchukua dola, maana vinginevyo wasije wakaweka misimamo mikali itakayosababisha vyama vya upinzani kugawanyika na kuipa CCM nafasi ya kupenya.
Mmmm, Itakuwa hasira ya mkisi. Wawe wajanja san safafi hii.
 
Hoja murua kabisa Mkuu! Kama nia yao ni kuinyima kura CCM kwa sababu CCM haitekelezi matwakwa yao kama waislam (au ya kiislam) basi sishabikii chama au kikundi chochote kitakachofurahia upuuzi huu!

Ila kama hawataipigia kura CCM (au chama kingine chochote kama kipo) kwa sababu imeshindwa kutekeleza mahitaji ya WATANZANIA (sio ya waislamu) basi hongera zao. Tusipokuwa makini Brotherhood au Boko Haram inaingia nchini hivyo. Ni heri CCM na madhambi na uchafu wake kuliko vikundi vya kidini ndani ya mwamvuli wa kisiasa.
Mmechelewa sana makafiri na vyama vyenu vya kikristo,hivyo ulivyovitaja havipo TZ hapa ipo UAMSHO chenyewe hakisimamishi mgombea ila kitamuunga mkono mtetezi wa waislam na uislam


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu Zinedine, labda nikukumbushe kitu kimoja katika uislamu kuhusu kupiga kura. Demokrasia ni mfumo unaopingana na mfumo mzima wa uislamu. Kifupi demokrasia katika uislamu ni haramu na haifai kabisa. Na kupiga kura ni miongoni mwa nidhamu za demokrasia, kwa maana nako pia ni haramu kupiga kura. Ukirudi kwenye tamko la hao viongozi mimi binafsi nimewaelewa vizuri wanachokusudia. Waislamu kushiriki upigaji kura au kugombea uongozi ktk mfumo wa demokrasia inachukuliwa kama dharura. Muda wote waislamu hupiga kura inayoitwa 'KURA YA MASLAHI' yaani kumchagua kiongozi ambaye akiingia atakuwa na faidana msaada kwa waislamu. Ndipo utaona mwaka 2005 na 2010 jumuiya hiyo iliwashakiza waislamu kumchagua Kikwete kama muislamu ili kusaidia waislamu ktk kuwatatulia matatizo yao. Kinyume na matumaini yao Kikwete hakufanya kama walivyotarajia. Tatizo kubwa lilikuwa kuvunjwa BAKWATA na MAHAKAMA YA KADHI na madai mengine ila karibia yote hayajatekelezwa kama waislamu walivyokusudia. Kwahiyo wameamua kugeuza kamari tena na kutoichagua Ccm kwakuwa imeshindwa kufanya hivo. Na utaona pia hawaja weka wazi ninani wa kumpigia kura uchaguzi ujao kwa maana huenda wataangalia ni nani atakuwa ana afadhali na kumpa. Kwamaoni yangu bado waislamu tuna hali tata sana kwasababu ya siasa ya nchi yetu. Kitakachotokea hapa ni kupunguza kura za ccm nasio kuiangusha ccm. Kuna njia moja tu imebakia na sio kutegemea wanasiasa katika kufanya mambo yetu ya dini hapo tutalialia kila uchao. Ritz, THE BIG SHOW.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni hatua muhimu..!!
Japo sina uhakika kama wanamaanisha, maana inawezekana ni kutafuta huruma za serikali kumwachia ponda halafu akishaachiwa wanafanya tena mkutano wa kuhamasisha kuichagua ccm.
Kama kweli wanaichukia ccm basi wachukie ubaya wake WOTE, sio kwa ponda pekee, ili hata akiachiwa msimamo uwe pale pale. Maana hata akiachiwa, walishamuumiza, hilo halibadiliki
 
Ndugu zangu hivi nchini tz chama gani ni cha waislam na chama gani cha wakristu. Lupumba 2005 haohao wakina ponda walimkana na wakasema msimchague lipumba km mwislam kwa kuwa hana maadili ya kiislam eti mwezi mtukufu anakulakula ovyo pia anaonekana kwenye mabaa mara kwa mara, kikwete naye mkasema amewatekeeza waislam kwa kuwa toka aingie hajawahi kuwatetea waislam na maslahi yao, slaa naye mkasema ametumwa na kanisa. Sasa leo mmesema hamuipi kura ccm, je mnacho chama ambacho ni kwaajili ya waislam na km kipo ni kipi? Nawaomba mambo ya siasa tuwaachie wanasiasa wayahubiri na mambo ya dini tuwaachie watu wa dini, tusichanganye siasa na dini tukaja kuiingiza nchi kwenye machafuko km yanayoendelea misri
 
Mkutano wa Waislamu ulikuwa ukifanyika Mwembeyanga siku ya leo, pamoja na maazimio mengine; umeamua kuwa waislamu wote wasiipe kura CCM 2015 lakini vile vile wametangaza kuratibu maandamano nchi nzima kupinga kile waliichokiita uonevu dhidi ya Sheikh Ponda...

Source: Aloyce Mpandama (The Guardian Reporter) Eneo la Tukio

This sounds like wanaanza kuamka na kuona. Big up kwao
 
walishakula kiapo misikitini cha kumchagua Lipumba muislam mwenzao
kwa azimio lao la leo wanarudia kiapo chao cha awali.

kwani chadema na CUF kipi kilianza kua chama kikuu chaupinzani?kwanini mnalazimisha waislam wachague chama kikuu chaupinzani hali nyinyi wakristo mlimkataa lipumba kwa uislamwake pale kilipokua na nguvu mkakidhoofisha?sikuzote nyinyi ndo mnaanza kila baya waislam hayohayo balaa,hatulali!!!.mlidhani mkimuua shekhe ponda tutaichukia CCM tu,hata CHADEMA kwania yao ovu wapate kura za waislam.
 
[h=1]Wafuasi wa Ponda wapiga kambi Segerea[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
[URL="javascript:CreateBookmarkLink()"]bookmark[/URL]
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email
Email this article to a friend

Friend's Email Address
Your Email
Message
Submit Cancel


Rating




wafuasi.jpg
Sehemu ya wafuasi wa Sheikh Ponda Issa Ponda waliohudhuria mkutano wa hadhara kwenye Viwanja vya Mwembeyanga, Dar es Salaam jana ulioitishwa kulaani kukamatwa kwa kiongozi huyo. Picha na Michael Matemanga
 
Mkutano wa Waislamu ulikuwa ukifanyika Mwembeyanga siku ya leo, pamoja na maazimio mengine; umeamua kuwa waislamu wote wasiipe kura CCM 2015 lakini vile vile wametangaza kuratibu maandamano nchi nzima kupinga kile waliichokiita uonevu dhidi ya Sheikh Ponda...

Source: Aloyce Mpandama (The Guardian Reporter) Eneo la Tukio
hilo ndilo tamko lenye manufaa kwa waislam.na wala lisiwe la kuzungumza kwa kujificha itangazwe katika nyumba zote za Ibada waziwazi kwamba iwe ni haramu kwa muislam yeyote kumchagua kiongozi yeyote wa ccm hata kama kiongozi huyo ni muislam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom