Waislam nijibuni hili

Ametoa wazo zuri kwann misikiti kila kona kwn kuna uhaba wa misikiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan ukijenga shule, hospital watu hawatapata huduma hata baada ya wewe kufa?
Au kwavile hzo shule watasoma na WAGALA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje kama wanafuga majini kama na wewe hufugi hayo majini?? Pointless kabisa ulivyoandika tu hapo unaonekana ni mtu wa aina gani!!! Kwahiyo dini hazileti amani ndio mnavyofundishwa huko mafundishoni kwenu?
Mpaka Umri huo hujui tu akina nani wanafuga Midevu na Majini??Haya niambie nchi yoyote ya Mashariki ya kati ambako dini imekolea na wana Amani!!!! hata pale kwa ndugu zako Somalia pametulia???
 
Hatutaweza kuelewana maana kwangu Dini ni kila kitu.
 
Mtoa mada
Hata msikiti pia ni maendeleo, kila mtu na imani na uwezo wake
Ndio maana kuna nyumba za udongo’ block na miti
Huwezi kumpangia mtu afanye kitu flani ni sawa sawa na wewe uambiwe ukajenge shule Wakati nia na uwezo huo huna!!!
Achana na zawadi za watu hata ww unaweza kujenga hizo shule na zahanati
 
Mpaka Umri huo hujui tu akina nani wanafuga Midevu na Majini??Haya niambie nchi yoyote ya Mashariki ya kati ambako dini imekolea na wana Amani!!!! hata pale kwa ndugu zako Somalia pametulia???

Ushawahi kushuhudia hayo majini??? Au unachangia tu ilimradi uonekane unajua sana
Fuatilia vyanzo vya machafuko ni nn? Sio unaleta ngenga tu hapa za abunuasi
Na kufuga ndevu ni sunna ila akili yako sijui imekaa wapi Au kufuga hizo ndevu unaona ni tatizo??? Basi mapadri na wachungaji wasingekua na ndevu Au wakristo wote wasingekua na ndevu kama kufuga ndevu ni kosa
 
Nakukumbusha Diamond alishatoa bima za afya na bodaboda. Pia Samatta na Kiba ndiyo wanaandaa charity match kila mwisho wa msimu wa ligi.
Au huna taarifa?
 
cyma, Hata hata ujuzi au elimu pia ni swadakati jalia

Ukimfundisha mtu ufundi ambao akawa anautumia kuendasha familia yake hiyo ni swadakat jalia kubwa sana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaandika mimi nawe umeanza kuwashirilisha wasiokwepo. Hapo hapo na mitusi.
Si ndiyo mnavyofanya mnauana harafu mnasingizia Marekani na Israel kuwa zinawachonganisha!!!
 
Msikiti una munafaa zaidi kwa mjengaji hata kama Atakuwa ametangulia mbele za haki tofauti nmna hayo mashule na hospitlii pia kingne ni usimamizi ,Shule na mahospitali yanahtaji usimamizi wa hali ya juu sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikia na baadae kuona Mbwana Samatta katoa sadaka ya kujenga msikiti eneo lile lingetosha shule, hospital au kiwanda kidogo, kwa nini msikiti na pale kuna misikiti kibao ina maana zawadi ni msikiti tu hamtaki maendeleo zaidi ya misikiti?

Wakati nikiwa Morogoro nilishuhudia IGP Mstaafu Mzee Mahita akikabidhi msikiti licha ya eneo lile kuwa kubwa angeweza kujenga shule, zahanati au kitega uchumi chochote kitoe ajira watu wanufaike, nikajiuliza zawadi ya maana ni msikiti?

Misaada mingi ya mataifa ya kiislamu yaliyopiga hatua kama Qatar, Saudi Arabia,Brunei, Irani, Kuwait ,Oman na n.k wanaleta pesa wajenge misikiti mfano ule msikiti mkubwa pale Dodoma wa Gadaffi angeweza kujenga chuo, shule, zahanati na pale Dodoma misikiti ipo kibao kwa nini msikiti?

Juzi nimemuona msanii mkubwa yule ambaye angeweza kujenga shule pale Kigoma, zahanati au hata kiwanda amechoma pesa kwa kujenga msikiti na pale Kigoma misikiti imejaa kila mtaa hivi hakuna cha maana zaidi ya misikiti.

My take:
Kuna haja mjipange maana mnatumia nguvu kubwa kujaza misikiti lakini maeneo mnayokaa yamejaa changamoto za shule, zahanati, vyuo na kero chungu mzima.

Jiongezeni

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…