Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,144
- 19,690
Uzuri hatuangalii mambo ya kidunia zaidi ya kujenga akhera yetu, hamjui kama kuna amali huwa zinaendelea kumpatia thawabu aliezifanya hata kama baada ya kufariki kwake? Basi nyie endeleeni na kuponda raha za dunia tuacheni/waacheni wanaojenga akhera zao. فقةWaislam utawambia kitu gani cha maendeleo wakuelewe? We chek biashara zinazozunguka miskiti afu ndo utaelewa: kalimati, vitumbua, miti shamba, udi/ubani, kanzu used ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Waislam utawambia kitu gani cha maendeleo wakuelewe? We chek biashara zinazozunguka miskiti afu ndo utaelewa: kalimati, vitumbua, miti shamba, udi/ubani, kanzu used ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ya Serikali. Vp nimekujibu?Kwani UDOM ni ya nani mkuu?
Kwanini unataka maamuzi ya waislam uliwataja tujibu waislam wote? Kweli maamuzi ya Omar Mahita, Samata na Nasibu tuulizwe waislam wote? Pia nikwambie kuna wanaojenga hizo shule ila hawajitangaziNilisikia na baadae kuona Mbwana Samatta katoa sadaka ya kujenga msikiti eneo lile lingetosha shule, hospital au kiwanda kidogo, kwa nini msikiti na pale kuna misikiti kibao inamaana zawadi ni msikiti tu hamtaki maendeleo zaidi ya misikiti?
Wakati nikiwa Morogoro nilishuhudia IGP mstafu mzee mahita akikabidhi msikiti licha ya eneo lile kuwa kubwa angeweza kujenga shule, zahanati au kitega uchumi chochote kitoe ajira watu wanufaike ,nikajiuliza zawadi ya maana ni msikiti
Misaada mingi ya mataifa ya kiislamu yaliyopiga hatua kama Qatar, Saudi Arabia,Brunei, Irani, Kuwait ,Oman na n.k wanaleta pesa wajenge misikiti mfano ule msikiti mkubwa pale Dodoma wa ghadafi angeweza kujenga chuo,shule ,zahanati na pale Dodoma misikiti ipo kibao kwa nini msikiti?
Juzi nimemuona msanii mkubwa yule ambaye anhmgeweza kujenga shule pale kigoma,zahati au hata kiwanda amechoma pesa kwa kujenga msikiti na pale kigoma misikiti imejaa kila mtaa hivi hakuna cha maana zaidi ya misikiti.
My take
Kuna haja mjipange maana mnatumia nguvu kubwa kujaza misikiti lakini maeneo mnayokaa yamejaa changamoto za shule, zahanati, vyuo na kero chungu mzima, jiongezeni
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mleta mada hana akili au uwezo wake wa kufikiri ni mdogo haiwezekani maamuzi ya waislam wachache tujibu wote, mimi ni nani hadi nimpangie samata juu ya matumizi ya fedha zake? Kwanini asiandike open letter na kuadress hao watu alafu asubiri majibu yao?Huu uzi umefanya niamini kuwa elimu ni kitu cha maana sana kwa mwanadamu,hasa kutokana na majibu ya ule upande,jamaa ana hoja ya msingi sana,sijaona kama ana chuki,ila katumia lugha ya ukali ili ujumbe ufike direct, matokeo yake anajibiwa kisirani..smh!
Uzuri hatuangalii mambo ya kidunia zaidi ya kujenga akhera yetu, hamjui kama kuna amali huwa zinaendelea kumpatia thawabu aliezifanya hata kama baada ya kufariki kwake? Basi nyie endeleeni na kuponda raha za dunia tuacheni/waacheni wanaojenga akhera zao. فقة
Sent using Jamii Forums mobile app
kasome tena alichoandika mleta mada ndio uje kujibu...nyie ndo wale mnaokimbilia kucoment tu ata content amjasomambona wapo akina Joe makin, Nikk2, lady jay dee, na wengine wengi, kwnini hamuwaelezi na hao wafanye cha kuonekan katk jamii eg kujenga makanisa???
Sent using Jamii Forums mobile app
umeongea vizuri, lakini hiyo point namba 6 naona kama umepotoka mkuu.......naona binadamu wanakabiliwa na changamoto nyingi sana za kiafya kwa sasa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo mabadilko ya tabianchi, vyakula na vipodozi, uchafuzi wa hali ya hewa n.k. huku hali ya kiuchumi ikizidi kushuka.....watu hawawezi tena kusafiri kwenda mbali kujitibu. bado huoni umuhimu tu hadi umeziongelea zahanati kimasighala na kejeli kiasi hicho?!!!!Ulikuwa na point nzuri lakini umeiburunga kwa ignorance na chuki zako dhidi ya dini ambayo huijui.
1. Uamuzi ni wa mtoaji mwenyewe though angeshauriwa pia. Kama hujui basi nakjuilisha leo, aya ya mwanzo katila Quran basi inasema, " SOMA" ikisisistiza kutafuta knowledge.
2. Ikiwa waislamu wao wangeweza kujenga zahanati ama shule, lakini huja question mapadre na wakuu wa makanisa kutumia pesa nyingi kuishi maisha ya kifahari kwa pesa ziwe zao ama za sadaka.
3. Visima vingi vya maji utaona ni misaada ya kutoka hizo nchi unazozitaja na utaona vimeandikwa kwa Kiarabu.
4. Waislamu tumeambiwa lengo la.kuletwa duniani ni ibada tu, na ibada hufanywa msikitini.
5. Misikiti nayo hujengwa na sehemu ya kutowa elimu.
6. Hizo Zahanati ziwe nyingi kiasi hicho zipate kuwatibu maradhi ya zinaa na blood.poisoning related to alcoholism?
7. Kinachotakiwa ni serikali kuwapa wananchi wake ajira na kuwajali ili wajinunulie lishe bora kujenga afya zao!