Waislam nijibuni hili

uliyoyasema ni ya kweli kabisa ila kuhusu dini usipende kuongelea kamwe!kwa ushauri tuu
 
Sikuelewi kuwa unaunga mkono au unapinga ila nilisema; Tuwe na maono ya kuwaunga mkono hata hao watu wanaojitolea kwenda kufunza dini popote. Tuwawezeshe nayo itakuwa Thawab kwetu. Si lazima kuongeza msikiti wakati ile iliyopo haijai
 
Pia sheria haijakataa kutumbua hela zako ilimradi unalea familia .kumuandalia mwanao ulithi haipo kisheria.kwa hiyo nikikushauri bro jenga urithi wa wanao utanijibu hivyo Madagascar mkubwa we
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wanaojenga shule hawaitaiona ahera mkuu?
 
Pia sheria haijakataa kutumbua hela zako ilimradi unalea familia .kumuandalia mwanao ulithi haipo kisheria.kwa hiyo nikikushauri bro jenga urithi wa wanao utanijibu hivyo Madagascar mkubwa we

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utamuandaliaje mwanao ulithi?

Utakuwa na akili kweli?
 
Mkuu ulitaka wakupe pesa zakujenga kanisa au? Unaposema lengo la waislam nikueneza dini yao lipi lengo la ukristo? Jje hiyo misaada inayo tolewa ulitaka kila inapotolewa itangazwe? Hizi ni chuki za.wazi kila muislam anacho fanya kuonekana hakina maana. Mbona hizo pesa zinazokuja kutoka urabuni hauzizungumzii?
 
Mkuu sawa wewe unayo elimu IPI mana yakuuliza hili swali? Na jje ni sahihi anaposema waislam mission yao ni kueneza uislam na sio kusaidia? Wewe kama musomi historian ya wamishonari kuja Afrika likuwa na sa7bu nyingi tuu lakini moja yao ni kueneza ukristo tofauti na warabu waliokuja Afrika.
 
Waislam utawambia kitu gani cha maendeleo wakuelewe? We chek biashara zinazozunguka miskiti afu ndo utaelewa: kalimati, vitumbua, miti shamba, udi/ubani, kanzu used ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu jaribu kutaja wafanya biashara wakubwa Tanzania na matajiri tuone orodha yako! Hizi ni chuki ambazo hazina msingi wewe kama muelewa hizi biashara za.kalimati zimetoka wapi? Jje unataka kuniambia kwamba wanaoletea taiga maendeleo niwakristo tuu? Hizi hoja niza wetu ambao wanajifanya wamesoma kumbe wameenda shule tuu.
 
[/QUOTE] Mkuu wewe ndio unaowashauri wakristo kujenga shule/ zanahati nk mahara kuna kanisa? Na mbona nanyie wakristo mnapojenga mnaanza na kanisa na badae mujenga shule au zanahati? Kwanini waislam wasianze na msikiti kuna tatizo gani?
 
Mimi najiulizaga hivi uislamu unafundisha watu kuwa waganga wa kienyeji (walozi)??

Maana ukiingia Facebook na Instagram unakuta mitangazo kibao mara Dr. Khamis, Husein, Mrisho, Khalfan,Shabani, Mohamed anatibu mvuto wa pesa, kumrudisha mke au mume, pete ya bahati na maneno mengine mengi tu!!

Hivi wenzetu mnafundisha ulozi huko kwenu au na ulozi nao kwenu ni thawabu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu akili anazo lakini anazichanganya na za Sunday school ndio tatizo ya kubambikiza chuki.
 
Mkuu wewe umesoma shule gani? maana naona huwezi kutofautisha kati ya mganga na mulozi. hujui tiba na kuroga?
 
Cha kwanza kila mmoja ana dhamira yake, wanaamua wasaidie kipi. Usiwapangie cha kusaidia, hata Marehemu Reginald Mengi miaka ya nyuma aliwahi kujenga msikiti kwa kujitolea jijini Tanga na hata siku ya uzinduzi wake alikuwepo tena alipiga kanzu yake safi.... Mbona hamkuwahi kusema hiko?

Hizo shule, hospital au kiwanda hiyo huwezi kuita misaaada bali ni miradi ambayo itaendeshwa na watu kuwaingizia pesa. Maana itahitaji gharama za uendeshaji, kitu ambacho itabidi itoze malipo kujiendesha.

Ule ni msaada na si mradi wa mtu kujinufaisha, wewe unajadili ujasiriamali kupinga suala la mtu kujitolea. Ukisema hatutaki maendeleo.
Upo sawa kweli?
 
Pesa zipi za Uarabuni zinazofanya la maana zaidi ya kujenga misikiti?
Nilikuwa nasikiliza Wazanzibar wanamlilia eti mfalme Qaboos wa Oman alikuwa akiwasaidia sana, wakiulizwa ni misaada gani alikuwa akito wanajibu katujengea misikiti, nikajua ndio maana hapa bongo Uislam na Umasikini ni pete na kidole

Makanisa Wakristo hawahitaji kujengewa, wanachanga hela zao na kujenga wenyewe,
 
Kwahiyo mkuu hapa Tanzania wakristo ndio wanaowalisha waislam? Au hii maada umeileta bada ya waislam kuomba musaada au kuomba kanisa lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…