Waislam nchini watoa tamko na kulaani uchokozi wa kidini

tunamlaan muasisi wa udini baba wa taifa,tunawalaan wanaoipendelea dini yao ktk kuwaumiza waislam nchini necta,..
mimi muislam na form six nilipata division one point-3 kwa necta hii hii.sasa kuna watu wanafanya masihara kwenye mitihani halafu wanalalamika necta ndo inawahujumu.
 

Huu si msimamo wa dini bali ni dalili za watu waliokata tamaa ya maisha ndiyo maana wanatamani vita ije wafe kwa sababu hawana cha kupoteza katika maisha haya
 
Syilia,Lyibia,Misri,Nigeria,Afganistan, Iraq,Mali,Sudanu, Somalia Waislam wanauliwa kila siku hamjaenda kuwanusulu.amani mnayoihubili ni ipi tena? Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe mtendee vile wewe unavyopenda kutendewa. Amri kuu ni MAPENDO
 
walaaniwe wale wote wanaovuruga amani ya nchi kwa kupandikiza mbegu mbaya ya udini
Mungu ibariki Tanzania pamoja na watu wake wote
 
Hiyo kuran yenu kumbe mdebwedo tu imekojolewa na dogo hajageuka mjusi.

Halafu munasema waislam wachochezi namna hii makafiri mutaacha kuchomewa makanisa na mukumbuke sisi kufa nikitu cha kawaida ww angalia akiuliwa kafiri mmoja wa kimarekani wanavyo changanyikiwa lakini wapalestina wana kufa 10 au 20 wala watu hawashituki tatizo lenu munaona dunia ni mahala pazuri sana lakini kamadunia inatabu kiasi hichi ni bora kwenda ardhini kuliko kuishi mahali penye dhulma kama Tanzania NA HII NI MIKAKATI ILIYO PANGWA TOKA ZAMANI NA BWANA AMBAYE ANAITWA HAAMBILIKI AU MCHONGA
 
Bahati mbaya sana hujui unachosema unaonesha chuki zako za wazi kwa kanisa katolili. Yule mtoto hakuwa wa imani ya kikatoliki acha kukurupuka.
 
mimi muislam na form six nilipata division one point-3 kwa necta hii hii.sasa kuna watu wanafanya masihara kwenye mitihani halafu wanalalamika necta ndo inawahujumu.
halafu sikuroho inatoka mwambie hivyohivyo kwamba una division one halafu akuulize na hayo yakwake huyajui utazame hiyo movie
 
mimi muislam na form six nilipata division one point-3 kwa necta hii hii.sasa kuna watu wanafanya masihara kwenye mitihani halafu wanalalamika necta ndo inawahujumu.

Wewe sio Muislamu bali mnafiki!!!!!!:lol:
 
halafu sikuroho inatoka mwambie hivyohivyo kwamba una division one halafu akuulize na hayo yakwake huyajui utazame hiyo movie
suala si baadhi ya watu wanasnaodai kuwa ni waislam wanadai necta inawafelisha waislam kwa makusudi.ndo maana nikaamua kuja na imperical evidence.lengo hapa si kujisifu au vinginevyo.
 
Nafikiri wenzenu wa upande wa pili wamechukulia suala hili kijuu juu.

Banafsi siamini kabisa kama kuna muislam Muumin wa kweli kabisa aliyeguswa na kadhia ya kudhalilishwa Qur'an anaweza kuvunja na kuiba mali za kanisa. Mimi ninavyofahamu hao ni vibaka tu walijipenyeza na kutimiza azma yao hiyo ya kuiba kwani siku zote katika misafara ya Mamba basi na kenge wanakuwepo.

hata kukitokea maandamano mbalimbali huko Tanzania Bara si mnaona vibaka wanavyojiingiza na kuanza kupora na kuiba mali za watu na madukani.

Nafikiri Wakristo wanatakiwa kujua kuwa waliofanya huo uarifu wa kuiba mali na kuchoma moto makanisa ni vibaka tu na walifanya hivyo kwa njaa zao. SUALA KUU LINAENDELEA KUBAKI ni kudhlilishwa kwa Qur'an
 
Wewe sio Muislamu bali mnafiki!!!!!!:lol:
haya tuchukulie mimi mnafiki halafu tuconnect na mada.Kwa hiyo wewe unataka utuambie,NECTA wanapookota karatasi la mtu tu tayari washajua kwa ku detect kuwa huyu mkristo anafaulu,akiokota tena nyingine wana detect huyu mnafiki anafaulu,akiokota nyingine ana detect huyu muislam anafeli! hebu tujaribuni kufikiri kwa kina kabla ya kutoa hoja.
 
Reactions: bdo
Mbona hawalaani kuchomwa makanisa na uharibifu wa mali za wakristo kama kweli wana akili hawa?
 

Mbona hasemi huyo mtoto naye apewe dhamana?
 

Tatizo la kukaririshwa ndio hilo na isitoshe umefundishwa kufanya vurugu kama ilivyotokea kwa wahuni wenzio alafu mnajiita waislam, waislam wa kweli hawako hivyo hebu jaribu kwenda shule walau upanue uelewa na upate ufahamu hao wanaowapa mafundisho ya uongo ndio sehemu zao za kula kwani wanatumiwa na wasiopenda mshikamano wetu jaribu pia kumuona shehe mkuu akupe ilimu akhera maana maana wanao wafundisha wanawapotosha
 

Nina laani wanaosema uongo kwa kutishia wengine! "eti ukikojolea hiki kitabu unageuka kuwa Nguruwe kumbe uongo mkubwa",
Nina laani imani ya kujipendekeza inayowajaza waumini wake shali
 

Wewe pia kwa tafsiri yangu ni kafiri tu,angalia povu linavyokutoka kwa ishu ndogo hiyo, sema ukweli dogo kageuka mjusi?Wacheni vitisho vyenu vya kishetani kama kufa kila mtu atakufa tu. Safari hii tunakula sahani moja na makafiri nyie wavaa vipedo.
 

Ukisha ona mwanaume anavaa kipedo ujue huyo hawezi kutoa hoja zadi ya kutoa povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…