Waislam msiende liliondo- redio kheir

:shock: du wewe kiboko kwa hiyo waislam wa huko kwenu temeke ndio unafanya Reference, Waislam ndio wanaongoza?
 
 

Kama chuki za waislamu dhidi ya wasio waislamu zingeanza pale Marekani ilipovamia Iraq, Afghanistan, nk ningekuelewa! Lakini Muhammad, mtume wenu alichinja mtu yeyote aliyetofautiana naye! Huo hasa ndio mzizi wa chuki iliyopo katika dini ya Kiislamu! Hayo ya Marekani ni kisingizio tu maana isipokuwepo Marekani mtaanza kulipuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyokuwa Iraq vs Iran, Iraq vs Kuwait, nk!
 

Haaa haaaa! Wewe unafikiri wanaojilipua "kwa njia ya Allah" wanatoa wapi aya? Kamuulize sheikh wako atakupatia aya ya Quran!
 

"uislam haurusu kuuwa innocent people" kwa hiyo inarusu kuuwa bt not innocent people" then its killing.
 
km kunamtu alisikiliza clouds fm ijumaa iliyopita usiku MUrry B alifanya mahojiano na dada mmja aliye jitambulisha kwa jina la Kuruthumu Juma alisibitisha kupona kisukari baada ya kunya dawa ya babu, wange mtafuta ili awape somo.

mdogo wangu ngoma ckuizi ni kisukari" maana yake kapona ngoma.
 
"uislam haurusu kuuwa innocent people" kwa hiyo inarusu kuuwa bt not innocent people" then its killing.
Hata sheria km za apa dunian zinasema mtu akiuwa kwa kusudi naye auwawe limeona hilo unategemea Islam dini isione
Kifungu kidogo km icho? Kwa yeyote aliyeuwa kusudi uislam unaruhusu nae auwawe. Hiyo ndo maana ya kutouwa wasio na hatia na kuuwa wenye hatia(wauaji). Usikurupuke kijana think 1st.
 

Mbona Alqaida Hujilipua ili wapate thawab
 
Shia vs Sunni
 
 
Mbona Alqaida Hujilipua ili wapate thawab
Lete facts. No research no talk. Wapi Qur-an imesema ukijiuwa unapata thawabu??
Na je km Alqaida wanafanya ivyo wao ndo
Waliotunga Qur-an na waanzilishi wa dini ya kiislamu mpaka wawe reference? Ok, Adolf Hitler na akina Musolin waliuwa watu wengi je Wakristo wote tuwachukulie reference from Hitler kuwa wauwaji? Refer Hitler alipouwa Mayahudi 6,000,000. Je mkristo wewe ndo km Hitler kitabia? Nitashukuru ukinipatia majibu ya maswali marahisi km hayo.
 
 

Kwa hiyo, Waislamu walioenda wakapona itawezekanaje kuwarudishia ugonjwa wao wa awali ili wawe kama hawajapona na hawajaenda Loliondo kulingana na hiyo Radio Kheri? Wifi wa mke wangu yuko Mwanza na ni Mwislamu mzuri sana na anapanga kwenda kumwona huyo "babu" kwa vile amekuwa akisumbuka sana na tatizo lake bila kupona na mwezi Desemba alikuja hapa Dar es Salaam akaelekezwa kuna sheikh mmoja anaweza kumsaidia, akaenda lakini hakupata nafuu yoyote. Binafsi naona inategemea imani ya mtu na siyo kuamrishwa na mtu, ambaye hata hachangii huduma yoyote ya tiba ya mhusika. Kama Radio Kheri wanatoa msaada wa tiba kwa Waislamu wenye magonjwa sugu na wanapona, wanaweza kuwakataza. Lakini kama ni maneno tu, hawaoni ndani!
 
 

Nadhani ungejibu kwanza swali lake vizuri tu bila hasira na kumwelimisha na kisha na wewe kumwuliza ili akuelimishe kuhusu Hiter na Mussolini. Lakini ulivyojibu, unaonesha kama Hitler na Mussolini walikuwa wauaji na walikuwa Wakristo (kama unavyodai), basi hata Alqaida kujilipua ni ruksa kwa vile ni Waislamu. Pili did Hitler and Mussolini kill in the name of their religious belief or political motives as Alqaida claim they are doing it in the name of Allah? Do, you get the point?
 
Kaka usisumbuke bure huyo jamaa jela imemuharibu nina wasi wasi wamemchakachuwa alipokuwa jela.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…