Waislam kwanini mnaangalia mwandamo wa mwezi?

Waislam kwanini mnaangalia mwandamo wa mwezi?

Imepenya hiyo pumbavu siku nyingine usikurupuke

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu jibu swali basi acha kubong'oa unapoulizwa.

Ramadhani imeanza 23/3/2023 Eid je?
IMG_20230323_164541.jpg

Cc. Marashi
 
Acha uongo waislam hamna kalenda! Kama ipo inakuaje Ramadhani ije kwa kushtukiza waislam wengine imewakuta bar wako chakali na wengine wanachakachuliwa
Duh! Eti Waislamu hawana kalenda! Usipende kuongea vitu bila kufanya research!!! Kalenda ipo lakini na yenyewe inafuata mwandamo wa mwezi.
 
Me kwa jinsi nilivomuelewa anashangaa kwa nini Idi mara hii iwe january mara nyingine iwe may, yani inaangukia miezi tofauti tofauti ukilinganisha na Chrismass kwa mfano ambayo inajulikana kwamba ikifika 28 Dec ni siku ya Chirsmass

Ni kwamba Uislamu una miezi yake 12 na ina majina kama yalivo January, February n.k

Kwa hiyo Eid inakua Kila tar. 1 mwez wa Shawwaal kama sijakosea na ila Eid kubwa inakua tar 10 mwez wa Dhul Hijja pia kama ntakua sawa
Mkuu unasema kweli ni muhimu kuelewa tunajadili mifumo miwili tofauti ya kalenda. Katika tarehe ya Kiisalmu sikukuu hazichezi, Eid iko kila mwaka tarehe 1 Shawal. Katika kalenda hiyo tarehe ya Krismasi inacheza... Ila kalenda hizi mbili zinatofautiana maana kalneda ya kimataifa inatumia mwaka wa Jua ya siku 365 1/4 ilhali kalenda ya Kiislamu inatumia mwaka wa miezi halisi 12. Vipindi katika kalenda ya Gregori huitwa "mwezi" lakini havina uhusiano na Mwezi mwenyewe.
Nilivyosema juu, ile kalenda ya Kiislamu ina faida zake lakini kweli haifai kwa maisha ya watu wengi duniani maana haiendani na majira ya mwaka. Hivyo ukiangalia historia, kila nchi ya Waislamu inatumia pia kalenda nyingine yaani ile ya Gregori. Hata zamani Waislamu walitumia kalenda nyingine ya Jua pamoja na Kalenda ya Kiislamu.
Kalenda ya Mwezi inafaa kwa maisha ya jangwani na -ukitaka- kwa kupanga utaratibu wa sikukuu. Ingawa inaleta maisga magumu kwa Waislamu walio mbali na ikweta. Maana Mwislamu anayeishi kaskazini mwa Dunia ataona Ramadhani mara kwenye mazingira penye mchana wa saa 4 pekee (kufunga ni kazi nyepesi), mara penye mchana wa saa 20 (haiwezekani kufunga mchana wote). Nchini kama Finland wanapaswa kutumia mbinu wa kufuata saa za Saudia bila kujali wala giza wala mwanga...
 
Jaribu kula saa kumi alfajiri halafu usile mpaka saa moja kwa mwezi mzima,uone Kama malengo yanafukiwa au laa
Nakula mara moja tu kwa siku, kati ya saa 12 jioni mpaka saa 2usiku. Wakati wa mchana naambulia kunywa maji tu!

Kuna tofauti na anayefunga?
 
Uwe unafanya basi kautafiti kidogo kabla ya kuandika

Idadi ya Waumini Duniani wanazidi kuongezeka huku upagani ukizidi kupungua

Hata Wachina walioongoza kwa upagani wameanza kuachana na upagani

Panua fikra zako uangalie ubora wa Dunia leo hii umechangiwa sana na uwepo wa dini ambazo zimechangia kupunguza tabia za uonevu, watu kuwa na subira, kusadia jamii zenye matatizo , watu kusamehe n.k yote hayo huyaoni?

Hata ukiangalia. matatizo ya Msongo wa mawazo yapo zaid maeneo yasiyo na dini na ndio sababu idadi ya Raia wanaojiua kwa Msongo wa mawazo Marekani ni kubwa kuliko Burundi or Somalia
Dini ni upuuzi tu,mungu yupo kwenye moyo wako.si kanisani wala msikitini.
 
Usinywe maji
Sidhani kama ina effect kubwa, kumbuka kuwa katika 24hrs, mlo ni mmoja na sio kwamba sijui mlo gani, ile ya kibongo yangu, wali ndondo na mchicha, kesho bondo nguna/dagaa mboga za majani, hivyo yaani.
 
Sidhani kama ina effect kubwa, kumbuka kuwa katika 24hrs, mlo ni mmoja na sio kwamba sijui mlo gani, ile ya kibongo yangu, wali ndondo na mchicha, kesho bondo nguna/dagaa mboga za majani, hivyo yaani.
Unamdanganya nani!?..yote hiyo kuchukia waislam na funga Yao...acha ujuha
 
Back
Top Bottom