uwe unafanya basi kautafiti kidogo kabla ya kuandika
Idadi ya Waumini Duniani wanazidi kuongezeka huku upagani ukizidi kupungua...
Acha uongo wewe hizo data umepata wap?
Kwa taarifa yako, watu wasioamini hizi nadharia zenu za kutunga kama muwaitavyo wapagani, wanaongezeka kwa kasi kuliko idadi ya wanaoongezeka ktk dini, unajua kwanini?
Kwasababu kizaz cha sasa ni cha watu wanaohoji sana mambo ya imani, na wanapokosa majibu sahihi kutoka ktk dini wanaachana nazo, ushahid unao hata ktk mtaa wako na msikiti/kanisa unaposali/kuswali idadi ya watu wanaoudhuria leo ktk dini zenu ni tofaut na idadi ya siku zilizopita,
Makanisan&misikitin wamebak vikongwe, wazee na baadhi ya vijana hopeless ambao kwa miaka ya baadae hawatokuwepo dunian huku majumba ya ibada wakiyaacha matupu.
Ulaya, america, Asia huku watu wanaamka haraka sana kutoka ktk usingiz wa kidini tofauti na afrika ambako wamejaa watu wavivu wa kuhoji na kujifunza mambo, misikit na makanisa vinazidi kupoteza ushawish ktk jamii kila siku, leo hii hata hapa nchin viongoz wenu wa kidini wanazidiwa hoja za kiimani na wale mnaowaita wapagan, matokeo yake mnapoteza mvuto na ushawish ktk dini zenu za uongo.
Mark this comment, miaka5-10 ijayo hizi dini zenu zitakuwa kituko ktk jamii na wafuasi mtaonekana kama watu waliokosa akili, uku majumba yenu ya ibada yakibaki na idadi ndogo, hii ni NATURE ya dunia kila baada ya muda fulan hutokea anguko la mifumo tawala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi, hivyo hata sasa tupo ktk nyakati za mabadiriko, si kisiasa na kiuchumi tu bali mpaka kijamii baadhi ya taasisi za kidini zitaguswa na haya mabadiriko ya dunia.
Jaribuni kufuatilia mienendo ya dunia mtagundua tupo ktk mapinduzi makubwa ambayo athari zake mtaziona hapo baadae japo hata sasa zinaonekana ila vipofu wa akili hamuoni.
See you To the next chapter of the world's system changes.