Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,759
Insha AllahShehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
View attachment 2840993
Hata waombe vipi hakuna kitakachobadilika mpaka tuachane na hizi dini za michongo Uislam na UkristuShehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
View attachment 2840993
HayaWaafrika na upumbavu wao. Kwenye sala msisahau kuliombea daraja la jangwani pia lisijae maji. Subhanallah
DuuuhHata waombe vipi hakuna kitakachobadilika mpaka tuachane na hizi dini za michongo Uislam na Ukristu
Rubbish, takataka we want scientific mitigation not revelations in scientific matters!Shehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
ole kwa waathirika wa tukio hilo.
Jambo jema Allah hufurahi zaidi mja wake anapo mlilia anapofikwa na mitihani!Shehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza masheikh na maimamu nchini kufanya dua maalumu ya kumuomba Mungu aliepusha Taifa na maafa mbalimbali kama yaliyotokea wilayani Katesh mkoani Manyara.
Maafa hayo yaliyosababisha vifo vya watu 89 hadi sasa yalitokea alfajiri ya Desemba, 2023 katika Mji Mdogo wa Katesh na vitongoji vya karibu vikiwemo vya Jorodom, Ganana, Katesh na Dumbeta pamoja na vijiji vya Gendabi na Sarijandu.
Katika janga hilo watu 139 walijeruhiwa kati yao 120 wameruhusiwa huku 17 wakiendelea na matibabu hospitalini.
Mufti Zubeir ametoa maagizo hayo leo Jumanne Desemba 12, 2023 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza likiwemo la maafa ya Hanang, huku akitoa pole kwa waathirika wa tukio hilo.
Swadaktaaa sheikh....Waafrika na upumbavu wao. Kwenye sala msisahau kuliombea daraja la jangwani pia lisijae maji. Subhanallah
Wanaomba Dua baada ya tukio au kablaShehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza masheikh na maimamu nchini kufanya dua maalumu ya kumuomba Mungu aliepusha Taifa na maafa mbalimbali kama yaliyotokea wilayani Katesh mkoani Manyara.
Maafa hayo yaliyosababisha vifo vya watu 89 hadi sasa yalitokea alfajiri ya Desemba, 2023 katika Mji Mdogo wa Katesh na vitongoji vya karibu vikiwemo vya Jorodom, Ganana, Katesh na Dumbeta pamoja na vijiji vya Gendabi na Sarijandu.
Katika janga hilo watu 139 walijeruhiwa kati yao 120 wameruhusiwa huku 17 wakiendelea na matibabu hospitalini.
Mufti Zubeir ametoa maagizo hayo leo Jumanne Desemba 12, 2023 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza likiwemo la maafa ya Hanang, huku akitoa pole kwa waathirika wa tukio hilo.
Ngoja tusubiri , huenda kuna tukio lingine linakujaWanaomba Dua baada ya tukio au kabla
USSR
Ni wakati muafaka sasa Wataalamu wa Masuala ya Disasters and Risks Management and Control kwenda kwenye Mikusanyiko ya watu kama hiyo ili Watoe Elimu Dunia juu ya namna ya Kupambana, Kuthibiti au Kujihami na Majanga Mbalimbali.Shehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza masheikh na maimamu nchini kufanya dua maalumu ya kumuomba Mungu aliepusha Taifa na maafa mbalimbali kama yaliyotokea wilayani Katesh mkoani Manyara.
Maafa hayo yaliyosababisha vifo vya watu 89 hadi sasa yalitokea alfajiri ya Desemba, 2023 katika Mji Mdogo wa Katesh na vitongoji vya karibu vikiwemo vya Jorodom, Ganana, Katesh na Dumbeta pamoja na vijiji vya Gendabi na Sarijandu.
Katika janga hilo watu 139 walijeruhiwa kati yao 120 wameruhusiwa huku 17 wakiendelea na matibabu hospitalini.
Mufti Zubeir ametoa maagizo hayo leo Jumanne Desemba 12, 2023 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza likiwemo la maafa ya Hanang, huku akitoa pole kwa waathirika wa tukio hilo.
Itapanda kwa uwezo wa Mwenyezi MUNGU.Waombe dua mishahara ipande
DaaaahMwafrika utamsikia anadua hadi ya koumbea Mvua wakati huko Uarabuni kwenyewe ni Jangwa lililosababishwa na Mvua hafifu.