Waislam: Hoja ni hijabu si kupigwa kwa DC Igunga.

Naomba kujua mwislamu mvaa hijabu akipelekwa gerezani, huwa magerezani wanaruhusiwa kuvaa hijabu?

Kama hawaruhusiwi, kwanini hakuna maandamano katika hili? Waislam wako wapi kulisemea hili?
 
Waislamu tuwe na akili kidogo. Tutachekwa mpaka lini? Mbona tunajidhalilisha wenyewe kwa kumwaga upupu kweupeeee. Mhalifu akamatwapo huwa hakuna msalimu mtume, ni purukushani kwa kwenda mbele. Hata chupi yaweza kuvuka sembuse hiyo hijab! Fatma alikuwa anavunja sheria za uchaguzi akiwa kiongozi wa serikali na mkuu wa kamati ya ulinzi ya wilaya anayelipwa mshahara kwa kodi ya watanzania wote wa vyama tofauti. Kwa kwenda kisiri katika nyumba tena bila ulinzi na kufanya mkutano batili ndani ya nyumba ni dhahiri alikuwa anazua balaa lililomkumba. Usitegemee angetoka ndani kwa amani bila purukushani. Isitoshe Fatma anatuhumiwa pia kuweka mkono wake mkubwa katika kuhamishwa OCD wa Igunga na meja NMB aliodhani hawatamuunga mkono katika hila zake za kukipendelea chama magamba akishirikiana na uongozi magamba wa mkoa. Waislamu kuweni na akili walau kidogo tu. Tuachieni upumbavu wa kutetea hijab kijingajinga hovyo! Mnatuaibisha. Hata angekuwa padri au sista angetolewa vivyo hivyo. Bahati nzuri wenzetu wakristo wana akili sana, wasoma na hawatafanya upumbavu wa Fatma kamwe.
 
sasa mbona mwigulu alitembea na mke wa ustadhi tena akampiga kavu kavu waislamu walikuwa wap hapo? Tena akaondoka na chupi yake! Duu! Waislamu bwana! Siwapend kama nin! I swear ingekua hiari yangu ningeifuta hapa nchini haifai kaz ushabiki shit

jinga kubwa ww mm ni kristo lakin cwez kusema hivyo masela wang waislamu naish nao fresh tu MODS naomba nimtukane huyu jamaa.
 
Upuuzi mtakatifu!
Jirani yangu mwislamu ambaye wakati mwingine huwa nafikiri ni mpumbafu hawezi kushabikia huu ujinga.....he is intelligent than most of you shura na i dont know what......kenge!

jamani waheshimuni waiisilamu hii ni forum ya wakristo tu?????????????????????????????????????????????
 
Nafikiri kuna suala propaganda hapa, nadhani watu wangeliangalia hili kwa mapana yake kuwa tumefikaje hapa, ujasiri wa kumkamata rais wa wilaya na yeye akakosa nguvu ya kidola kujitetea umetoka wapi? Hewa ukiibana sana itatafuta mahali pakutokea tu. Haya mambo ya hijabu, rosari nk, tusihangaike nayo sana, kama ni suala la haki, yule Mbunge wa CUF kule Urambo aliyewekwa mahabusu na wanaume chumba kimoja mbona hatukupiga kelele, Hata hivyo ni jambo la Kushukuru Mungu wale vijana waliomkata DC bado wana staha , katika mazingira yale yule DC angeweza hata kuchomwa moto, kwani wahalifu wangapi wanachomwa moto bila hata kujitetea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom