Chadema kumvua Hijabu DC ni chuki dhidi ya Uislamu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kumvua Hijabu DC ni chuki dhidi ya Uislamu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzee wa mawe, Sep 17, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
1. m

mzee wa mawe Senior Member

#1
Sep 17, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 151
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Akiongea DC wa igunga Fatuma kimario akiongea na waandishi wa habari mjini igunga amesema kuwa yeye ni desturi yake anapovaa nguo yoyote ni lazima avae Hijabu kwa hiyo kitendo cha kumvua hijabu ni sawa na kumuacha uchi, na kwa mujibu wa dini kiislamu ni udhalilishaji na kejeli kwa dini hiyo, tusubiri tamko la Masheikh.

2. B

Bajabiri JF-Expert Member

#2
Sep 17, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Mimi ni muislam,na naelewa umuhim na thaman ya HIJABU KWA MWANAMKE WA KIISLAM.,YULE MAMA NIMEMUONA KWENYE T.V LEO,HIJABU HAIVALIWI VILE,YULE AMEVAA KITAMBAAA TU,,,,,,,NA KUHUSU CHADEMA NI KWELI HAWAKUMTENDEA HAKI,KUMPA KASHKASH AS WOMAN,ANGEKUWA MWANAUME KAMA TAMBWE AU NAPE AU KADA YEYOTE INGEKUWA SAWA,SI KWA MWANAMKE,KUTOKANA NA MAUMBILE YAKE,JE ANGEDONDOSHA SHANGA??????

3. j

jigoku JF-Expert Member

#3
Sep 17, 2011
Joined: Sep 9, 2011
Messages: 2,347
Likes Received: 80
Trophy Points: 145
Mmeanza uchonganishi,unasubiri nini kutoka kwa mashekh mbona usihoji wala usisubiri tamko kwa kitendo cha kampeni meneja kuchukua kiburudishao cha ustaadh hapa igunga?
Mawazo mgando hukimbilia uchonganishi

4. B

Bajabiri JF-Expert Member

#4
Sep 17, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Ndo nilivoielewa hiii sridi

5. Mpevu

Mpevu JF-Expert Member

#5
Sep 17, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 1,816
Likes Received: 9
Trophy Points: 0
Hakuna haja juu ya tamko la masheikh, kwa kitendo kile si UUNGWANA hata kidogo. Si ishara nzuri katika ustawi wa taifa hili, ni jambo linaloweza kutumiwa kama 'turufu' kubwa kwa oponents wa Chadema katika kinyang'anyiro jimboni Igunga. Kuwepo na ushindani wa hoja, si kuvunjiana UTU. I personally condemn kwa tendo hilo nikiwa ni HE.

6. a

alpha5 JF-Expert Member

#6
Sep 17, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 209
Likes Received: 18
Trophy Points: 35
hizo ni vijisababu tu

7. Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka JF Bronze Member

#7
Sep 17, 2011
Joined: Jul 20, 2010
Messages: 4,530
Likes Received: 41
Trophy Points: 0
Mmm nasema hivi! CCM Kuwavua chu.. hawa Ma-DC kinamama kabla ya kuwapa cheo ni machukizo mbele za mungu na si mbele ukristo au uislamu.
Kuvuliwa Hijabu feki(sina uhakika kama alivuliwa au alivua) sioni kama ni kosa kubwa mbele za muumba kama hili la kuvuliwa chu.. kisha kupewa ukuu wa wilaya.

8. m

mareche JF-Expert Member

#8
Sep 17, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 475
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
hi ni chuki ya wazi kwa chama makini je kama wangekuwa wa magamba wangeshikiliwa muda mrefu kiasi hicho AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO

9. lifeofmshaba

lifeofmshaba JF-Expert Member

#9
Sep 17, 2011
Joined: Feb 19, 2011
Messages: 868
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
kwani alikuwa msikitini?
na dini yake inaruhusu aliyofanya? na kama dini yake hairuhusu adhabu ya mtu kama yeye kwenye dini yake ni nini?
wanyang'anyi wanafanya nini kwa dini yake?
hakuna mambo ya dini hapo hii ni siasa
ccm bado wanamlisha pumba huyu mama

10. lifeofmshaba

lifeofmshaba JF-Expert Member

#10
Sep 17, 2011
Joined: Feb 19, 2011
Messages: 868
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
mzee hii ni nchi na yeye aliapiswa kuwa mwadilifu kavunja kanuni ndio madhara yake
unataka kusema TAMWE angepona kwa wale mabausa na kitambi chake kaangalie tena ile picha
kuhusu NAPE kama unafuatilia vizuri habari za IGUNGA aliponea tundu la sindano kula kipondo kutoka kwamababusi hakatoka mbio
na gari
narudia tena hii ni nchi hakuna kuiba kwa kutumia viburudisho na kusema wanawake wamedhalilishwa? huyo ni kiburudisho na hapo alikuwa kwenye harakati za kuwatembea haki wanaompa raha, TAMWA wanasema mbona wako kimya ccm ndio wanapiga kelele

11. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#11
Sep 17, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160
aliyeanzisha thread pumba tupu

12. dedam

dedam JF-Expert Member

#12
Sep 17, 2011
Joined: Jan 5, 2011
Messages: 846
Likes Received: 16
Trophy Points: 35

teteh teh teh teh

13. C

CHIPANJE JF-Expert Member

#13
Sep 17, 2011
Joined: May 1, 2011
Messages: 313
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

We ndugu yangu mbona unapenda kutoa hoja za uchochozi wa kidini?Wakwenda pale kwa nia ya kumvua hijabu.Shida na haja ya chadema ni kutaka kujua kwanini aliongoza kikao hicho wakati na wao walikua na mkutano wa Kampeni?Penye kurupushani kuna kua na mengi hivyo unaweza kujenga hoja kwamba halikua kusudi lao kumvua hijabu.Je tamko la Mashehe litazungumzia nini?Tanzania ni secular state hivyo haimini katika misingi ya dini yoyote,acha tabia za kuzungumzia mambo ya udini ni hatari.

14. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#14
Sep 17, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
simple minded hapo kwenye red..................yaani ingekua kabla ya kujiunga na JF wanapima IQ, nadhani usingekua member humu

15. Tundapori

Tundapori JF-Expert Member

#15
Sep 17, 2011
Joined: Aug 12, 2007
Messages: 521
Likes Received: 32
Trophy Points: 45
Nothing to be condemned whatsoever. Matokeo ya dhuruma inapopindukia kupita kiasi watu wanashikwa na hasira na kujichukulia sheria mkononi. This is due to lack of general fairness in our society, condemn nothing at all but fisadis.

16. j

janja pwani Senior Member

#16
Sep 17, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 104
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Hatuwezi kuacha kuwakemea na tabia yao hiyo, wewe umemsikia heche amesema watafanya hivyo kwa mkuu wa mkoa hata kwa mkuu wa nchi. hii ni nchi inaongozwa kwa kufuata sheria si kihuni kihuni. DC anahaki ya kufanya mkutano mahali popote, muda wowote, siku yoyote hata kama kuna mkutano wa uchaguzi. soma sheria za uchaguzi.

17. Kumbakumba

Kumbakumba JF-Expert Member

#17
Sep 17, 2011
Joined: Sep 7, 2011
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hivi dini ni nini dhidi ya uzalimu?alikuwa anafanya udhalimu..huo ndio mshahara wake

18. mchillo

mchillo JF-Expert Member

#18
Sep 17, 2011
Joined: Oct 13, 2010
Messages: 433
Likes Received: 15
Trophy Points: 35
Mtindo wa CCM kuwatumia ma DC na ma RC kwenye kampeni za kisiasa ikiwa ni pamoja na wizi wa kura kutakuja waletea watendaji hawa matatizo makubwa pindi wananchi watakapoamua kujichukulia sheria mikononi.
Taatizo hapa ni kwamba hawa ndiyo wanaotumika katika njama zote za kuihujumu demokrasia, kuanzia kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, kugawa rushwa hadi kuiba kura.
Yapo maswali mengi ya kujiuliza kabla hatujaanza kumwonea huruma huyu mama mvaa mtandio anaouita hijab, kwani alikuwa akifanya nini vichochoroni kule kwenye eneo CHADEMA walipokuwa wakifanyia mkutano wao? Sijui atasema alienda kufanya nini, lakini mazingira ya uwepo wake kule yanaashiria hujuma kwa demokrasia. Alienda peke yake (Bila walinzi), eneo ambalo wanasiasa walikuwa wakieleza mapungufu ya wapinzani wao, maneno ambayo kwa kawaida huzalisha hamasa na hasira na sina uhakika endapo angebambwa na wananchi wenye hasira kali kama wangemwacha salama. Hivi ni lini vibaraka hawa wa CCM watakoma kuihujumu demokrasia?

19. Nkwesa Makambo

Nkwesa Makambo JF-Expert Member

#19
Sep 17, 2011
Joined: Aug 26, 2011
Messages: 4,765
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Ungetusaidi sheria inayompa uhuru huo, DC mwenyewe ni mvivu wa kufikiri...

20. K

Kima mdogo JF-Expert Member

#20
Sep 18, 2011
Joined: Sep 17, 2011
Messages: 303
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nina hakika we MLETA MADA UNAPIGA KAMPENI.

Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...