Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tumain ernest, Mar 9, 2011.

 1. t

  tumain ernest Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu
   
 2. n

  ndume Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Shusha kwenye jukwaa hili utapata jibu kuna mtu ameuliza swali kama lako amepewa majibu yatakusaidia.
   
 3. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nashindwa kukuelewa maana ya kushusha kwenye jukwaa hili tafadhali nielezee vizuri! ndugu yangu ndume kwa kuzingatia hili ni swala la wengi sana.
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Subira yavuta heri
   
 5. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Km umefanya vizuri F4 wasiwasi wa nini? Wakimaliza kupanga,yatatangazwa tu,hata iwe mwezi june,na utapangiwa pa kwenda.Km una C mbili tu,usisubiri matokeo we tafuta ya tatu ili uweze kwenda private school.
   
 6. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  uwe unachungulia mara kwa mara hapa www.moe.go.tz
   
 7. B

  Bizzly Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  wadau kilichokuwa kikisubiriwa kwa muda mrefu ndo kama kinavyosomeka kwenye viambatanisho.
   

  Attached Files:

 8. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amina,
  Nimefurahi sana wadau.
   
Loading...