Baada ya Waingereza kupiga kura ya kujitoa EU wazee wa EU wamewaambia watoke haraka ili sumu yao isijesambaa kwa nchi zingine, wao waliomba wajitoe mwezi October lakini wameambiwa hakuna muda wa kusubiri watoke haraka, tayari kiongozi mkaanga sumu ameanza kunyoshewa vidole na keshaanza kujutia porojo zake. Hili nalifananisha ugomvi wa Ally na wawakilishi wa visiwani.