Waikafashion gallery

Waikafashion gallery

everythingood

Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
97
Reaction score
39
Karibu waika's gallery..hapa utapata bidhaa zetu kwa rejareja,tupo dar pia tunatuma bidhaa zetu kwa wateja wa mikoa mingine .

Bidhaa zilizopo kwa sasa:
Handbags :
zinatengenezwa hapahapa Tanzania,ni nzuri na imara,bei ni nafuu sana...
Bei pochi pekeake ni 20,000/=
Bei pochi na viatu ni 25000/=
Utaletewa ulipo kwa gharama nafuu...wanaohitaji kw jumla tunapokea oda pia..
2a3aa66532d95f55fc0dd1e62dc5bd82.jpg
158eefd8991324874bf3c2f3d91f9a19.jpg
a6c4e10ef8765090b0de873b23eac04e.jpg


T-shirt:
Zipo round neck t-shirts brand za manga na hotbasic ...size:M-XXL...
fde149a96039bb9a4b3f4b1331f4d572.jpg
zinauzwa kwa seti kwa bei zifuatazo:
Pack ya tshirt 3-30,000
Pack ya tshirt 5-50,000
Toa oda yako
3ec33f1e5d590485a7cdc75379151940.jpg
d0fd8588d57d0238b8b17afe035b0c7a.jpg


Handbags za dukani(special)
Bei ni 45000/=
af0d490a1b941bbf7ae52bd9bf0a5ba6.jpg
ipo rangi nyekundu
7836df176a49bda72f059aaaa2d78c7f.jpg
faa3b77437c3839e72ac5b95166d066a.jpg
ipo ya blue

Viatu vya kike:
Bei 35000
38d589f8539887e9aa9d6a0b22da45d1.jpg
ipo ya kijivu,size 39
50b13fea42fbf336e23da28a02fd7e34.jpg
ipo rangi nyeusi size 39
bfea2f6f7d9e4d5fd45b653576504dce.jpg
ipo rangi ya pink size 38

Suruali za kiume:
Bei 30,000/=
d03ef4d65c46e46a195f1feed4d65186.jpg
fbafdc1d9f9c4816895b23b3a5469676.jpg
7bf15fd3a36fbbbdc1df9a555b93a533.jpg
a3d439d52fcaea75848a0c607f3413c9.jpg




Mawasiliano:whatsapp/sms @+255626309195...karibuni sana..
 
Moja ya sababu zinazopelekea wajasiriamali wa kibongo tusitiboe ni kutaka super profit, yaani tunataka faida kubwa sana kuliko uhalisia wa soko.

Hebu tazama tangu uweke tangazo tar 04 March 2018 mpaka leo hakuna hata mtu aliyeulizia wala kukomenti, shida bei mkuu
 
Mpaka sasa hawajatambua kwanini kimya,hiyo bei yako na iliyopo kitaa kwa sasa hazifanani.N.B bei kubwa halafu nijirisk kufanya biashara na mtu wa kwenye mitandao ungeshusha kuliko mitaani ungevutia
 
Back
Top Bottom