martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,463
- Thread starter
- #41
Tabu namkubali sana huyu mama kwa jinsi anavyoweza kucheza uhusika wowote kwenye movies kitu anachowazid wanawake wengi Bollywood, Madhuri Dixit siwez sahau uwezo wa huyu mama pamoja na rani mukherjee, nawaelewa sio kuwajua tuu!!List ni ya mchongo. Unaanzaje kuwaweka Ranbir na Hrithik kwenye top 10? Kijana unawaelewa Saif Ali Khan na Sanjay Dutt?
Kajol anafanya nini hapo? Umewahi wasikia Sridevi, Madhuri, Tabu, Urmila Matondkar, Rani?
RIP SRIDEV
kiukweli ni mafundi lakini imekuwa changamoto kuingia kwenye ile list ya kufa na kupona

