Waigizaji bora wa muda wote India

Waigizaji bora wa muda wote India

Habari wapendwa,

Leo nimekuja upande huu kwa ndugu zangu wafuatiliaji wa Bollywood au tasnia ya sinema india.
Nimekuja na list ya mastaa bora wa filamu kwa muda wote pale india kaskazini, ambapo orodha hii itaenda kuongozwa na kichwa chao au kamanda wao; Aamir Khan (Mr. Perfectionism).

Najua maswali yatakuwa ni mengi yakiuliza kwa nini Aamir, ila kwa wanao fuatilia vizuri hii tasnia ya filamu India watajua nini namaanisha tukianza kuangalia vigongo vyake yule mzee kama; Iagaan, Three Idiots, Ghajin, Dangal, Fanaa, PK etc. Basi twende moja kwa moja kwenye orodha;

1. Aamir Khan
2. Shah Rukh Khan
3. Amitabh Bacchan
4. Dilip Kumar
5. kamal Hassan
6. Guru Dutt
7. Kajol
8. Hrithik Roshan
9. Ranbir Kapoor
10. Salman Khan

Bollywood forever!
Akshay Kumar
Vidyut jawmali
Tiger scrophy
John abrahamu

Unawajaua hawa ni Moto mno bob
 
Akshay Kumar
Vidyut jawmali
Tiger scrophy
John abrahamu

Unawajaua hawa ni Moto mno bob
Yeah!!! But akshay kumar ni zama za wakina srk na aamir
But hao wakina Tiger shroff ni wa kipind hik
Anyway hawawez penya pale juu
 
Kuna movie niliiionaga zamani sana jamaa alikua akigongwa tu kichwani network inakata .Alikua anasafiri na ndugu zake kwa treni kufika station akagongwa kichwani ,si akaanza kuuza barafu.Yule ndio mwigizaji wangu bora japokua jina wala star wa movie siwajui.
 
Ukitaka kujua Hrithik Roshan ni mkali kuliko Amir Khan tazama DHOOM 2 na DHOOM 3.
Baada ya kuangalia hizo naomba nenda kaangalie dangal( wrestlers), three idiots, na rang de basant za aamir, halaf nione utasemaj
 
List ni ya mchongo. Unaanzaje kuwaweka Ranbir na Hrithik kwenye top 10? Kijana unawaelewa Saif Ali Khan na Sanjay Dutt?
Kajol anafanya nini hapo? Umewahi wasikia Sridevi, Madhuri, Tabu, Urmila Matondkar, Rani?
 
List ni ya mchongo. Unaanzaje kuwaweka Ranbir na Hrithik kwenye top 10? Kijana unawaelewa Saif Ali Khan na Sanjay Dutt?
Kajol anafanya nini hapo? Umewahi wasikia Sridevi, Madhuri, Tabu, Urmila Matondkar, Rani?
Mchongo kivp
Indian wana tuzo zao za heshima za mwaka zinaitwa 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐟𝐚𝐢𝐫 𝐚𝐰𝐚𝐫𝐝𝐬 tuzo hizi ni no 1 pale north india na ni za heshima kwa wasanii, anaeongoza kwny tuzo hizo ni mtaalamu SRK akiwa na 8 akifuatiwa na kamal hassan mwenye 5, then ranbir kapoor mwenye 4 huku Hrithik Roshan, Aamir Khan na Amitabh Bacchan wakiwa na 3 wote, Seif Ali Khan akiwa na 2
The same time akshay kumar, Salman Khan, nk wakiwa hawana kabisa

NB: Kichaa Aamir khan alisusia tuzo hizo kwa kusema zina upendeleo na hazina usawa

Hv anaingia vipi srk then kajol asiingie!!???

Hahah!! Unamchuklia poa ranbir kapoor!!??
Hhahah!!! Broh yule jamaa anajua kuigiza acha masihara, labda tu ni kwa sababu kaanza kuwika kipind cha karibuni, then naomba ukaangalie barfi, Rockstar, Yeh jawaan Hai Deewani na Ae dil Hai Mushkil zote za ranbir

Inasemekana kama Hrithik Roshan angetoka kipindi cha SRK basi Hrithik angemgalagaz vibaya Srk maana jamaa ana kipaji kikubwa cha kuigiza than srk,
Narudia tena Hrithik Roshan ni balaa jingin kaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom