Waigizaji bora wa muda wote India

Waigizaji bora wa muda wote India

martial jb

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
864
Reaction score
1,463
Habari wapendwa,

Leo nimekuja upande huu kwa ndugu zangu wafuatiliaji wa Bollywood au tasnia ya sinema india.
Nimekuja na list ya mastaa bora wa filamu kwa muda wote pale india kaskazini, ambapo orodha hii itaenda kuongozwa na kichwa chao au kamanda wao; Aamir Khan (Mr. Perfectionism).

Najua maswali yatakuwa ni mengi yakiuliza kwa nini Aamir, ila kwa wanao fuatilia vizuri hii tasnia ya filamu India watajua nini namaanisha tukianza kuangalia vigongo vyake yule mzee kama; Iagaan, Three Idiots, Ghajin, Dangal, Fanaa, PK etc. Basi twende moja kwa moja kwenye orodha;

1. Aamir Khan
2. Shah Rukh Khan
3. Amitabh Bacchan
4. Dilip Kumar
5. kamal Hassan
6. Guru Dutt
7. Kajol
8. Hrithik Roshan
9. Ranbir Kapoor
10. Salman Khan

Bollywood forever!
 
Nadhani bado ww sio mfuatiliaji mzuri wa Indian movies kama hiyo ndiyo top 10 yako bora ya muda wote kaa chini upya uanze kuziangalia tena

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Akshey Kumar movie zake zimefanywa poa kama jaanawale na ile dhadkan akiwa na Sunil Shetty halafu hayupo list ni scam.

Sunny deol hayupo hamna kitu hapo, Mithun wakina Mr.Anand ,jack shrof,Sanjay dutt, Amrish pur, Shakti kapur
 
Kwann hawawez kuingia
Hao jamaaa niliorodhesha hapo juu, wote wamechangia kwa kiasi kikibwa Bollywood kupaa kimataifa, mbali na hivyo kazi zao zimekimbiza sana katika mauzo sokoni ukiachana na awards mbalimbali walizobeba especially film fair awards
 
Weka SRK namba moja kwanza halafu tuongee mengine
Hahaha!! Hafui dafu kwa aamir, uigizaji wa srk ni local sana ukimfananisha na aamir khan, kinachofanya srk aonekane juu ni kuigiza muvi nyingi ambazo asilimia kubwa maudhui yake ni mapenzi, tofauti na aamir alieweza kutoboa kwa muvi chache ambazo zote ni vigongo
 
Habari wapendwa,

Leo nimekuja upande huu kwa ndugu zangu wafuatiliaji wa Bollywood au tasnia ya sinema india.
Nimekuja na list ya mastaa bora wa filamu kwa muda wote pale india kaskazini, ambapo orodha hii itaenda kuongozwa na kichwa chao au kamanda wao; Aamir Khan (Mr. Perfectionism).

Najua maswali yatakuwa ni mengi yakiuliza kwa nini Aamir, ila kwa wanao fuatilia vizuri hii tasnia ya filamu India watajua nini namaanisha tukianza kuangalia vigongo vyake yule mzee kama; Iagaan, Three Idiots, Ghajin, Dangal, Fanaa, PK etc. Basi twende moja kwa moja kwenye orodha;

1. Aamir Khan
2. Shah Rukh Khan
3. Amitabh Bacchan
4. Dilip Kumar
5. kamal Hassan
6. Guru Dutt
7. Kajol
8. Hrithik Roshan
9. Ranbir Kapoor
10. Salman Khan

Bollywood forever!
Mithun anakosekana vipi katika orodha hii..?.
 
Amrish puri
Jackie shrof
Om puri
Glushan glova
Mituni Chakraborty
Danny denzongpa
Ni sawa wakongwe na mafundi, ila wengi wao hawakuwa wahusika wakuu kitu kinachopunguza max, na pia huwezi fananisha uigizaji wa hawa jamaa na wale wa pale juu, u must be joke
 
Nadhani bado ww sio mfuatiliaji mzuri wa Indian movies kama hiyo ndiyo top 10 yako bora ya muda wote kaa chini upya uanze kuziangalia tena

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
Hebu niambae nani mwingine alipaswa aingie kwenye hiyo list na hakuingia, halaf untajie hao unaotaka kuwaingiza ni kwambie kwa nini hawaingii kwenye list hii ya kibabe
 
Umeandika kichekesho,kafanye research tena,halafu unaonekana ni .com wa juzi tu.
How!!??, hahah!! Dot com wa juzi??!! Kivp broh!!?? Aamir na srk na salman wameanza kuigiza miaka ya 1990's, sikwambii wakina kamal hassan, amitabh bacchan na guru dutt wameanza kuigiza wakat wakina srk ni wadogo na bad unasem I'm dot com wa juzi

Kweli tozonia changamoto
 
Huo mstari wako wa chini acha kukariri,nipo mbele napiga box,hiyo tozonia inakuhusu wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom