Kweli make atakudharau kwa posti za kijingajinga wakati we unaingiza buku 7.
I don't think kama ni tatizo c mkeo uyo or?bac kuna vitu vingi vyakishenzi unafanya dats y humpi
Haha haaaaa,,sioni ubaya wowote apo
ubaya upo wangu,ataninyima huduma,afu na wewe pia utanitosa
Mme wangu kumbe unatumia hii username? Alafu mbona unaleta mambo yetu hukuuuu...? Tabia gani hii
sasa ndo nnime jua hata maana ya ID yako............
halafu unaleta ushenzi wa kuflirt na watu humu utanijua vzr leo.........
khaaaa!!!!!!!!!!!! kumbhe ni wewe,,,,,,,,,,,,,,sasa utakoma uliko peleka mboga ukale huko huko
kwanza kbs nani kakwambia uje uanike mambo ya home hapa jamvini??
wallah leo ama zako ama zangu
tobaa nimekwishaaaaaaa.basi mama taratibu,tuyamalize kiutu uzima
basi mama pole pole majirani wasisikie,ongea kimoyo moyo
vitu vingine watakiwa uviache km vilivyo ukivichokonoa utakoma mwenyewe
me kwa ukweli huwa sipendi karaha na simu ya mtu wala kudai password ya email au fb
staki kuupa moyo wangu ugonjwa
yaani hapa ni sawa na kumshika sharubu simba akiwa na njaa........
hapa mbona ni biti tuu mziki kamili utaucheza ukirudi home??
yaani hapa ni sawa na kumshika sharubu simba akiwa na njaa........
hapa mbona ni biti tuu mziki kamili utaucheza ukirudi home??
ila usininyime tu mama.
UCMNYIme na mue na amani.
UCMNYIme na mue na amani.