happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Usimpe, shauri yako! akizikuta zile pm itakuwaje? hivi ulishajifunza kutandika kitanda? anza kumtandikia mkeep bize asahau kukuomba pasiwodi
Usimpe, shauri yako! akizikuta zile pm itakuwaje? hivi ulishajifunza kutandika kitanda? anza kumtandikia mkeep bize asahau kukuomba pasiwodi
usimpe na wewe mwambie jf ndio nini? jidai na ww hujui kitu..
sina tatizo kabisa na inbox mkuu na wala sijawahi kutongoza kabisa humu jf coz am here 4 fun,hebu imagine kuna post yangu moja nimeeleza jinsi nilivyotoka na baba mkwe wangu afu akanisakizia mzigo.sasa akiiona si atanigeukia?au ile kuwa kuna siku niligombana nae nikaamua kwenda sudani kwa wahaya but nilishindwa kuduu.sasa akiiona si ndo atanichenjia?
toba!!! na wewe umeingia lini huku?nani kakufundisha?ni kabanga au mzizi mkavu?au ni mashoga zako heaven on earth na valentina?lakini nina wasiwasi na daud omar pia,labda kalia weeeee mpaka ukakubali akufundishe jf
Hata siku ulivyomsemaga Baba nilikuwa nshajiunga ila sikujua ni wewe...kuomba password nilikuwa nakutega tu...Sasa Leo nimekujua ...
Daaa, hiyo ya baba mkwe siikumbuki mkuu, dingimkwe mzuri sana huyo akiona kitu cha maana anakusakizia mzigo, huyo anafaa. Hiyo ya sudani naikumbuka mtu wangu, daaah! Umenikumbusha kumbe hata mimi siko salama humu, kwa maana namimi huwa napost ujinga sku zingine, daah, hizo akiona we mwambie ni utani tu....Lakini mwanaume ulifunguka mpaka bei...dah! You have one hell of an explanation to dom mpwa wangu!
khaaaa!!!!!!!!!!!! kumbhe ni wewe,,,,,,,,,,,,,,sasa utakoma uliko peleka mboga ukale huko huko
kwanza kbs nani kakwambia uje uanike mambo ya home hapa jamvini??
wallah leo ama zako ama zangu
ubaya upo wangu,ataninyima huduma,afu na wewe pia utanitosa
basi mama pole pole majirani wasisikie,ongea kimoyo moyo
khaaaa!!!!!!!!!!!! kumbhe ni wewe,,,,,,,,,,,,,,sasa utakoma uliko peleka mboga ukale huko huko
kwanza kbs nani kakwambia uje uanike mambo ya home hapa jamvini??
wallah leo ama zako ama zangu
ila usininyime tu mama.
dah mkuu umeona sasa mambo yanavyokorogana?
Mi siwezi kukutosa,,siunajua we ndo kiburudisho changu eeeh....