Ndivyo walivyo chunga shingo tu mzeewadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.
nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?
She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
hahaaaaa u real made ma day...naumwa bt nimepata ahueni. mi cna mume bt napenda nimgeuze bby aangalie,namwambia geuka basiiii yan napenda sana yani...
wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.
nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?
mi wangu akigeuka anashtukia bonge la bao
shavuni akome,c aangalie akiwa peke yake
hata kama mm kimbau mbau ndio aangalie mawezere
mbele yangu,nyumbaaaf!!
aiseeeeee mimi siwezi kufanya hivyo ingawa ni utani na inaleta vicheko kati yenu
afu hao wanawake mnawapungia wanajiskiaje mwangine anaweza kudhani dili imetiki kumbeeeeeeee
Kabisa uweke makalio ya mke wako humu?
Pole yao. Sisi hatupo ki dili dili, tupo tunaangaza macho tuone neema.
mi wangu akigeuka anashtukia bonge la bao
shavuni akome,c aangalie akiwa peke yake
hata kama mm kimbau mbau ndio aangalie mawezere
mbele yangu,nyumbaaaf!!
Mwaya it hasn't been a bed of roses, no marriage is, but namshukuru Mungu kwa ile willingness ya pande zote kujitahidi kurekebisha mapungufu yaliyopo and keep growing deeper in love.
wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.
nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?
Karucee hivi leo uliamkia kulia eh?Mwaya it hasn't been a bed of roses, no marriage is, but namshukuru Mungu kwa ile willingness ya pande zote kujitahidi kurekebisha mapungufu yaliyopo and keep growing deeper in love.
hahahahahahahaha zaidi ya iddi amini dada
please ambatanisha na namba yake ya simu!ngoja nimvizie mkuu niyafotoe makalio yake halafu nitaaplodi.