Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Ukiskia charismatic words ndio haya,sound so good ila magumu kwa wanaume including u kuyafatisha
mvumilie bhana yataisha hayo kdg kdg napendaga xana kuona watu wawili wanapendana hvongoja nijaribu hii mbinu ya kumdanganya kutoka ili nimpeleke kwa mpira nione.waif alikuwa fresh kabisa ila alipopata ujauzito wa kwanza ndo akaanza kukaba mpaka wa leo.
mkuu nishapiga stori na waifu sana,anakuelewa lakini ukitaka kuondoka anbadilika,sometimez anakuwa mnyonge hadi unamuonea huruma inabidi tu uhairishe safari zako.kuna wakati unalazimisha kwenda ndo hivyo tena.
hapo kwenye bold tabia yako ni mbaya kwa nini unamfanyia mwenzako hivyo kama hutaki akupigie simu kila wakati si umwambie ukweli ukweli utabaki palepale awe anapenda au hapendi.
halafu unalalamika kwani mwanzo mlikuwa mnaishi vp maana hadi kuzaa watotot wawili leo ndio unalalamika kama ni kitu kipya utakuwa umeanza tabia mbaya wewe, na inaonesha humpendi mwenzio kama anavyokupenda.
mambo ya kuachiana nafasi ya kutoka yanazungumzika na kufikiana miafaka na makubaliano.
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

ha ha ha
hata mie nilikua hivyo kama mkeo, nilikua nakaba hivyo hivyo basi alikua anachukiaje, anaona kero
basi si nikaja kuacha kumfuatilia, yani hata sikumbuki mara ya mwisho kumpigia cmu ni lini.
basi siku hizi anatiaje huruma, yani anatafuta attention kwa njia zote, mie wala sina habari nae
yaani hadi namuonea huruma
yani am sure mkeo ni muaminifu kwa asilimia zote, ngoja akipata mtu nje ataacha kukusumbua
no,tunafanya kazi sehemu tofauti
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
Hivi hao wanawake mnawaoa tu bila kuangalia haya mambo?
Au wanawabadilikia baada ya kuwaoa?
Maana haiyumkiniki mwanamke umemchumbia muda mzuri tu, anajua unapenda mpira na ku hang with with your workmates etc, halafu muoane atake ubadilike kabisa.
Una mke mwema shukuru she's so close,akibadilika utajuta!
Ha! Kumbe tupo wengi? Nilifikiri mimi tu!!!
Inaelekea mnapokuwa kazini au muda wa saa za kazi hakuna tabia ya kuchungana kiasi hicho wala hakupigii simu mara kwa mara. Kuna tatizo za wivu uliopitiliza au ulimzoesha hapo mwanzo baada ya kufunga ndoa. Tabia za wanawake walio wengi yaani hawapendi kurudi nyuma. Kama ulimzoesha, kwa mfano, ukitoka kwenda matembezi ya jioni na ukirudi unamletea kazawadi (chips mayai, kakuku ka kurost nk) siku ambayo hutaleta atakuzulia ugomvi na malalamiko usiyotegemea kwa vile anafikiria kuwa hukumletea kwa sababu kuna mwanamke mwingine huko nje amekula zawadi yake. Yote maisha, vumilia na umueleweshe kwa upole na busara huenda akabadilika.