Mjukuu wa bibi Pili.
Member
- Dec 21, 2011
- 71
- 75
Tangu kuanza kwa kampeni za nafasi ya ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali kwa mgombea wa Chadema Joshua Nassar,inaonekana kama vile wanausalama wa Chama wanashindwa kushauri mambo muhimu na ya usalama kwa mgombea wetu.
Niwakumbushe kidogo hapa wajibu wenu licha ya kwamba mimi sijasomea hayo mambo. Tumeona mgombea akiruhusiwa kubebwa juu mara kadhaa, ni kweli hilo jambo jema kwa kuwa wapiga kura wanamkubali sana, hali inayowapatia vichomi chama cha kijani. Naombeni msiruhusu tena hiyo hali kwa kuwa mtu anaweza kujipenyeza kama mshabiki kumbe ni pandikizi na akamfanyia kitu kibaya mgombea wetu.
Pigeni marufuku mara moja hiyo hali na ulinzi wa red guard uongezwe kwa mgombea ni hayo tu.