Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Kama umekaa kwa miaka mingi town utaona kabisa wahuni wamepungus sana, Kwenye kundi la wahuni kuna wababe wa mtaani, vibaka, matapeli, n.k Zamani kesi za vibaka zilikuwa nyingi sana kuzidi sasa, waonezi na wababe walikuwa wengi sana 80 na 90s kuzidi sasa, kwa mtazamo wangu nnaona labda kukua kwa elimu nchini kumepunguza sana tatizo la wahuni,
Una lipo la kuongeza?
Una lipo la kuongeza?