kwa maelezo ya mkuu wa usafiri wa daladala AR amesema huo ulikuwa si mpango wa wenye magari. Amesema ni wahuni tu waliotaka kuleta fojo hizo ambazo ni za kisiasa zaidi. Haya ni maigizo.
naam wamesema ni wahuni tu walikuwa wakiwashinikiza madereva wagome! Ati nchi isitawalike! Ati arusha ndio benghazi ya tanzania! Hakuna cha benghazi wala nini. watawala hakikisheni nchi inatawalika kuanzia arusha, mara, mbeya hadi newala!