wahuni walitaka wenye viford wagome | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wahuni walitaka wenye viford wagome

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zhu, Nov 2, 2011.

 1. Z

  Zhu Senior Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa maelezo ya mkuu wa usafiri wa daladala AR amesema huo ulikuwa si mpango wa wenye magari. Amesema ni wahuni tu waliotaka kuleta fojo hizo ambazo ni za kisiasa zaidi. Haya ni maigizo.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni wahuni mimi nilidhani CDM ndio wamegoma...
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Maagizo kutoka wapi?
   
 4. j

  jigoku JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kwa taarifa kutoka wapo radio mgomo ulikuwepo na hadi mabomu yalipigwa AR
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  naam wamesema ni wahuni tu walikuwa wakiwashinikiza madereva wagome! Ati nchi isitawalike! Ati arusha ndio benghazi ya tanzania! Hakuna cha benghazi wala nini. watawala hakikisheni nchi inatawalika kuanzia arusha, mara, mbeya hadi newala!
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Bi.Mkubwa unarukia kila Mada.
   
 7. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Sasa kama Wahuni ndio walitaka wenye Daladala wagome,mbona wenye daladala walikubali huku wakitambua ni wahuni ndio wamewataka kugoma?
   
 8. facebook

  facebook Senior Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kugoma haukuwa mpango wa CDM ni wa wahuni wachache. Lema abaki zake tu huko selo apate adabu.
   
Loading...