Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Kwa Huu Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini .
Lazima utakubaliana namm kwamba, Mauaji ya Raia Okt 29, yalikua yamepangwa tu yaan ilikua lazima Samia apachikwe Urais.
Akina nani hawa walioko nyuma ya huo Mpango?.
H POLEPOLE Alitutajia Wahuni, ambao Kwa Sasa Mkono wao wa Rushwa umetafuta Majeshi yetu yote.
Sasa wamemficha Samia, ni Kumpa taarifa za Uongo tu, Mama Nchi imechafuka, Tulia kwanza, Tulia tukusafishie Nchi, Tulia Kwanzaa, ili ulitaka kutoka ukute pako shwari.
Hili linathibtishwa NA HARAKATI ZA UTEKAJI NA MAUJI ZINAZOENDELEA.
Kuna Utekaji Mkubwa na Mauaji ya Raia mmoja Mmoja yanayoendelea Nchini kiasi ambacho Hata kabla ya Okt 29 , haikuwahi kushuhudiwa!!