Wahuni siyo watu wazuri

Hii piga ua ilikuwa shule ya kata. Yaani mnaamua tu muondoke shuleni mpite mtaa wa kwanza wa pili fresh tu!!! Ila story poa Sanaa, Mambo kama hya yalikuwa Shule moja huko Mwanza. Jamaa walikuw wanaitwa Bush runers
Hahahahaha sio shule ya kata ila ni moja katiya shule za hovyo nilizowahi kusoma, hovyo Sana! Kuna siku nilikutana na mzazi anamleta mwanae kujiunga na form one aliponiona na uniform zangu akaniuliza kuhusu shule nikamwambia mama Kama unataka mwanao apotee Basi mlete ajiunge na shule yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…