Wahuni ambao Hayati Magufuli hakuwamaliza kama anavyosema Humphrey Polepole ni akina nani?

Polepole ni upande wa pili wa shilingi na shilingi lazima iwe na pande mbili........

Vuta ni kuvute iliyopo ndani ya sisiemu haiwezi kuisha ....

Kwasababu binadamu anaasili ya wema na kupenda giza......
 
Hio Ni zuga tu limesukwa kiufundi, Polepole kujifanya bonge la mpinzani wa Maza then wanaanzisha chama Chao Cha msimu,2025 hio hapo wanakula vichwa vya wabunge kadhaa then mchezo unaendelea tena.
 
Back
Top Bottom