Wahudumu wa Lodge wanahaki ya kuhoji idadi ya wapenzi kwa wateja?

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Kuna wahudumu wengine sijui kama wanajua wajibu wao kwenye lodge walizoajiriwa

Kuna tabia imezuka hasa ya wahudumu wa kike kukuhoji kuwa una wapenzi wangapi na huku si kazi yake,kazi yake ni kupokea pesa si kuhoji una wapenzi wangapi!

Kawaida ya wanaume kutotulia na mpenzi mmoja,unaweza kupeleka wanawake tofauti kwa lodge moja kwa siku tofauti tofauti ,yaani Ijumaa akaenda na Mwajuma kwenye hiyo lodge,jumapili akaenda na Rose kwenye hiyo hiyo lodge, jumatano akaenda na Leah kwenye hiyo hiyo lodge

Imefikia hatua ya wahudumu kuhoji mteja kuwa una wapenzi wangapi

Wakuu kuna umuhimu wa kila mpenzi unayepata awe na lodge yake kuondoa sintofahamu za wahudumu wa Lodge?
 
Uzinzi na umalaya ni kipaji kama ilivo kucheza mpira au basket ball na inaonekana mapema kama vipaji vingine tu toka udogoni ndio maana mkiambiwa mchague wa kuzaa naye mnakuwa na jazba na hasira,serikali hawezi kuingilia vipaji vya watu its in human nature.

WHERE THERE IS A WHEEL, THERE IS A WAY!!
 
Ndio mana nlishawah kwenda lodge nikamkaza mwanamke nloenda nae akasepa nikamchukua muhudu wa kwanza nikamkaza na yeye na alivyobadilishana na mwenzake aloibgia shift ya jion nikamkaza na yeye nikaachana na lodge za kinafiki kama hizo
 
Lodge zenyewe nyingi tuu mkuu, Mkipishana kauli tafuta nyingine
 
Imefikia hatua ya wahudumu kuhoji mteja kuwa una wapenzi wangapi

Wakuu kuna umuhimu wa kila mpenzi unayepata awe na lodge yake kuondoa sintofahamu za wahudumu wa Lodge?
Itakuwa unatakiwa na hao waulizaji mkuu
 
Back
Top Bottom