Wahudumu wa gesti wana Siri nyingi

Wahudumu wa gesti wana Siri nyingi

Ok mkuu tunasubiri hiyo minofu iliyo miss hapo ili sherehe ifane vizuri, nadhani tutaelewa unacho maanisha na tutaweza kuandika vitu vya msingi kama ilivyo ada,
Itifaki imezingatiwa mkuu
 
Halaf sasa hivi wenye mahotel wangetenga vyumba special kwa mashoga tu ili tusichanganyane bana,,halaf wadada mnaoendaga hotel na kujishaua wale wahudumu huwacheka tu maana wanajua list ya bwanako oooh kama anakula hadi mashoga wao wanajua wanakuzomea tu
 
Doohh, kwahiyo mimi ma ww tukienda wataanza kutuweka kwenye listi ehh
 
Hili suala la wahudumu kuwa na funguo za ziada na kuzama chumba ambacho umekodisha ni kweli kabisa na iliwahi kunitokea mkoa fulani hapa Tanzania ili nilistukia mchezo faster kwa kuwa vitu vyangu vya thamani na pesa huwa natembea navyo kwenye begi langu..nikaamua kubadilisha guest haraka sana na posho nikawaachia.
 
Hata mamayake anaweza kumpa chumba, anafichama tu.

Hawa jamaa wana list ya wake/ waume za watu wanaokwenda hapo kufanya ufuska

Kuna milango ya dharula hii ni kwa ajili ya wateja wao special..( viongozi wa dini, mapunga, wanafunzi na hata wale wasiopenda kuonekana wakiingia humo.

Pia hata wenyewe wengi wao wanatoa huduma chap chap iwapo utahitaji

Wana funguo zao za akiba kwa ajili ya matumizi mbadala, ( unaweza toka kidogo na huku nyuma mtu akazama ndani ya chumba chako kwa nia yoyote ile )
Unatakaje
 
Ahadi ipi

ww ulinipa kaz ya kukuhifadhia mapesa wiki nzima ukanambia yakitimia kias unachohitaj nikustue.
nami bila ya khiyana nimejinyima kwa wiki nzima mpaka nshaanza kukondeana kwa ajil yko.
Lkn kwa kuwa hukuntilia maanan sbr nizishughulikie mwenyewe.

naanzaa usiku huu kwa kujipongeza na vimikinika vya dhahabu(pombe)
 
Hahahahaha acha basi tuzigawane wotee bana,
 
Kila mtu ako na siri, tena siri nzito mnooo!!!! Kuna muda waweza ona tukiio mpaka ukatamani iwe ndoto lakini ni kweli!!!

Kuna namna hutaweza fikisha ujumbe moja kwa moja ingawa huwa unatamani iwe hivyo inabidi uumie tu na siri moyoni.. Ila za mwizi ni arobaini tuu!!!
 
Back
Top Bottom