Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
Sitakagi mazoea na ma barmaid.
Halafu akishamaliza kula unamuomba mzigo, au sio!.Yaani unaweza kuchoma nyama na bia yako pembeni unashangaa mtu anajileta huku anachukua mnofu choma hapo ataanza kumlalamikia mchoma nyama hajaweka pilipili na anakaa kisawasawa kula menu na anakushauri uchukue na ugali ana njaa balaa hajala toka Jana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , tena anaomba umnunulie bia na yeye.
Kero sana hawa watu, ila ndo hivyo tunaenda nao kiupendo zaidi, hamna namna.
Pole sana mkuu.Aisee! Kuna siku muhudumu mmoja tena wa bar maarufu Kinondoni, alinilaza njaa! Nilimmaindi sana aisee! Yaani umeongea jambo lenye ukweli kabisa, .Iko hivi, nilitoka kwenye shughuli zangu za kuponda kokoto, muda ulikiwa umekwenda sana, sikula chochote mchana, mteja wa lori la kokoto hakutokea kunilipa na mzigo umekwenda, kwa kuwa namfahamu nikajipa imani siku ijayo atanipa, mfukoni nikabaki na Buku 5 tu! Nikaagiza chips na kakipande ka Kuku ikaba Buku ya boda, nikaanza
kula bila kukaribisha mtu maana nilikuwa vibaya sana, si dada muhudumu akavuta kiti tena akakaa kwa kuanza na kashfa ya kudai, "Hata karibu huna lo!, una roho mbaya" huku ananawa, akaanza kula kwa kasi kuliko Mimi ! Tahamaki viazi vyote kamaliza na kuku nilikula kibawa tu! Dah!
Kaka vyuma vimekaza, si Mkulu alisema Kila mtu apambane na hali yake.Kwani wao hawaruhusiwi kula acha utabaka wako huo, Paka la Baa wewe.
Kula ni jambo la kusemana tena siku hizi?
Kweli wewe ni saint.Sitakagi mazoea na ma barmaid.
Hawanaga masihara hao, mwambie KIUTANI unataka kumgonga uone atakavyokuseti.Hawa wahudumu wa Bar unaweza agiza chakula ukamkaribisha kimasihara yaani kiutani utani tu akaja kukaa na wakavunja bawa(wakala)
Acheni habari hizo bwana kwani kusema ahsante tu haiwezekani?
Mnawaendekeza mtu atakujaje kienyeji ale tu kama ulikuwa hauna mazoea nae ya karibuAisee! Kuna siku muhudumu mmoja tena wa bar maarufu Kinondoni, alinilaza njaa! Nilimmaindi sana aisee! Yaani umeongea jambo lenye ukweli kabisa, .Iko hivi, nilitoka kwenye shughuli zangu za kuponda kokoto, muda ulikiwa umekwenda sana, sikula chochote mchana, mteja wa lori la kokoto hakutokea kunilipa na mzigo umekwenda, kwa kuwa namfahamu nikajipa imani siku ijayo atanipa, mfukoni nikabaki na Buku 5 tu! Nikaagiza chips na kakipande ka Kuku ikaba Buku ya boda, nikaanza
kula bila kukaribisha mtu maana nilikuwa vibaya sana, si dada muhudumu akavuta kiti tena akakaa kwa kuanza na kashfa ya kudai, "Hata karibu huna lo!, una roho mbaya" huku ananawa, akaanza kula kwa kasi kuliko Mimi ! Tahamaki viazi vyote kamaliza na kuku nilikula kibawa tu! Dah!
Mazoea naye yalikuwepo ya mteja na muhudumu tu! Dah!Mnawaendekeza mtu atakujaje kienyeji ale tu kama ulikuwa hauna mazoea nae ya karibu
sasa kama tabia Yetu ni kukarimiana " kwanini unawalaumu "" kitendo cha kuwalaumu kinafanya uonekane kuwa ukarimu wako ni wakinafki..Hapana coz kwa tabia na nidham ya waafrika kukarimiana ni jambo la busara ila nawe umaekarimiwa basi uwe unachek na nyakati basi sio kila nyakati Kitonga Maisha magumu mjuee
hao ndio wafariji wangu mkuuUkitaka kugombana na mimi wewe waseme vibaya mabaa medi, huko ndiko ninakomalizia matatizo yangu na kuburudisha moyo wangu, ishia hapo hapo
Hata ingekuwa awamu gani, akinikuta nimeuza mapera yangu na madebe ya ulanzi atafurahi.Sio kwa enzi ya Magufuli???
Wenzako hao wahudumu wanaamini kila mteja anaekuja bar ana hela kuwazidi wao.Hawa wahudumu wa Bar unaweza agiza chakula ukamkaribisha kimasihara yaani kiutani utani tu akaja kukaa na wakavunja bawa(wakala)
Acheni habari hizo bwana kwani kusema ahsante tu haiwezekani?