trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
mzazi mwenzangu ndiye aliyenipa experience hii.
loh!! Ndiyo kwanza nasikia kwako bosi.. Sasa hapo inahitajika uchunguzi ili kujua udhaifu ulikuwa wapi.. Maana si jambo la kawaida mwanamke aliyepitia kliniki asijue vitu basic vya kutembea navyo siku zikikaribia. Tena wanashauriwa kutembea na mikoba au mapochi makubwa na kuweka vifaa vya dharura maana uchungu unaweza kumkuta ghafla hata mahali pasipotarajiwa.. I have no comment then..