WaHouthi wanatarajia kuondoshwa madarakani huko nchini Yemen

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza uvamizi huo kwa nią ya kuiokoa Yemen kutoka kwenye mikono ya magaidi hao wanaoungwa mkono na Iran

Tatizo LA hawa Watu wakisha watoa Houthi wataanza kupigana tena kuwatoa upande mwingine
 
Inasemekana Hawa jamaa wameunda ushirikiano na Al shabaab Ili kuhakikisha Red sea hakupitiki.
Wacheni story nyingi US hapiti Red Sea tokea kuanza vita ili Israel iondolewe sunction na Yemen.

US atasingizia mengi kwanza walisema Iran ndio anawasaidia, wakaja juzi wakasema China na leo mnatuambia Al Shabab ya Somal 😄
 
Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza uvamizi huo kwa nią ya kuiokoa Yemen kutoka kwenye mikono ya magaidi hao wanaoungwa mkono na Iran

Waanze na yule msemaji wao mla miraa, anayeongea kama anaimba.
 
Houth wenyewe muda huu sasa
1000410447.jpg
 
Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza uvamizi huo kwa nią ya kuiokoa Yemen kutoka kwenye mikono ya magaidi hao wanaoungwa mkono na Iran

Saudia na hao wahuni wake walikubali Kwa miaka 10 na kila aina ya silaha, Al Houth akiwa Bado mchanga Kwenye tech ya drone na makombora Leo hii hao 80k mbona hawatoshi Tena waongezwe kidogo angalau laki 2 vinginevyo wanakaangwa mapema tu, saivi Al Houth level zake sio hizo tena
 
Houth ni Waislamu, Saudia ndio mwenye Uislam wake duniani, Israel ni wafata Judaism religion, Wapalestina as majority ni Waislamu, now Saudia akipigana na Houth, husikii issues za dini, Israel akimpiga Palestinian unasikia Waislamu wanalalamika, what kind of double standard is this kwa waja wa mnyazimngu?
Ili ndugu zangu Waislamu mkae kwa amani, huaga mnataka mu ishi na watu wa imani gani hasa? Nyie na dini yoyote SHIDA, mkikutana wenyewe kwa wenyewe ndio TATIZO kubwa zaidi! Shida ni nini hasa?
 
Uislam umejengwa kusimamia haki na uadilifu hivyo haijalishi ni nani anamisibehave ndio maana Kama una umri kidogo uliwahi kushuhudia aliekuwa rais awamu ya pili muheshimiwa mwinyi aliwahi kutandikwa kibao huo ndio Uislam
 
Hehe hapo inakua vita ya waarabu na myemen ndo mwarabu halisi , saudi ni copy........wakiwa wenyewe kwa wenyewe uislam hauingii ila akija asie muislam basi wanaonewa waislam,,,,acha sahv waingie kwenye uarabu
 
Wapuuzi sana; lakini ningependa kupata majibu kutoka kwa waislamu wa humu kama kina Webabu nk, Ili waislamu waishi kwa amani, wanatakiwa wakae na watu gani? It sound like wanapenda sana mambo ya kuuana uana, imagine Wapalestina wa Gaza na wa West Bank kwa bwana Abasi haziivi, bongo tu hapa, suruali fupi na ndefu hazi iivi. Pemba na Unguja ni bunduki za serikali na muungano ndio vinawaweka pamoja, nje hapo lazima wakiwashe tu; Bukinafaso ina waislamu wengi kuliko Wakristo but na kwenyewe hakukapona; what's the problem to this fellas?
 
Uislam umejengwa kusimamia haki na uadilifu hivyo haijalishi ni nani anamisibehave ndio maana Kama una umri kidogo uliwahi kushuhudia aliekuwa rais awamu ya pili muheshimiwa mwinyi aliwahi kutandikwa kibao huo ndio Uislam
Hizo tabia za kupigana pigana zina tofauti gani na tabia za wafuasi wa shetani? I mean, ili kumtofautisha muislam (kwa maana ya tabia hizo ulizo zisema ) na mfuasi wa shetani utaangalia matendo yepi? Binafsi sioni. Mcha Mungu (sisemi muumini wa dini, narudia, mcha Mungu ) ana hofu ya kukwaza wengine, ana huruma, anajua kwamba kuua ni dhambi mbaya, tendo namba 1 la Kimungu ni UPENDO. Ni amri hiyo kutoka kwa Musa hadi kwa Yesu, waislamu mnadai mnawafata hao manabii; mbona matendo yenu yanapingana nao?
 
Hakuna dini inaruhusu uuaji Hata Uislam hauruhusu, lakini vita vimeruhusiwa Kwa atakae kiuka na kuwapigeni vile vile anaeharibu dini ataadhibiwa

Nyongeza hao MANABII uliwataja hawakua wanyonge Kama mnavywahubiri nyinyi Yesu alikua mkali linapokuja suala LA dini aliwahi kuwatimua na kumwaga vitu vya wafanyabiashara walipoingia nyumba ya ibada kufanya biashara, Musa alimtia mpumbavu mmoja ngumi akamuua hivyo nyie dini sijui mnaichukuliaje Mungu hamtaki mzaha Kwenye dini yake
 
Yesu aliua wapi kaka? Nimewasoma vizuri sana hao manabii 2 bro. Hapo unaposema Musa alimtia ngumi mtu akafa, huo wakati alikua hata hajaitwa kumtumikia Mungu wake, hakujua kabisa kama angekuja kua nabii mkubwa baadae, alikua hatetei DINI pale, alikua akiwatetea ndugu zake Waisrael dhidi ya uonezi ulioneshwa na Mmisri yule. Remember Musa alikua anajulikana kama mwana wa mfalme pale Misri, yeye alikua anajijua kama mu Israel (leo unaweza kusema Myahudi ) au mu Ebrania.
Vita alivyo vifanya Musa, alikua kama mfalme, yaani kama leo rais wa nchi bila kujali ni muumini wa dini ipi, linapo kuja suala la taifa lako, lazima ulitetee, lazima uamuru majeshi kwenda vitani kupigana, ndicho anacho kifanya Netanyahu, ndicho alicho kifanya Nyerere kwa Idd Amini nk. Lakini nyie mnaamuaga tu, paap mnakiwasha, sometimes hata hakuna sababu; nyie mnaua tu. Hivi mfano, wale magaidi wa KIBITI, Nigeria, Msumbiji, Somalia nk, wanapigania DINI ipi wakati hawajapingwa na yoyote?
 
Hakuna anayeua bila sababu TU ili mradi wale wapalestine Hata hoja zao ukisiliza hakuna Hata Moja inayohusu dini, Al shabab hakuna hoja ya dini sema wapiganaji ndio Wana dini hivyo labda ndio kina kuchanganya hao MANABII walitetea haki za watu wao lazima utaingia conflict tu na watu unapoanza kusimamia haki hio ndio nature ya binadamu, hivyo wewe unachanganya vitu Fanya research uone jinsi waigania haki popote duniani wanavyopata taabu na majina mabaya na kuuwawa hivyo ukiwa lelemama sio mkorofi unakufa bila impact yoyote
 
Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza uvamizi huo kwa nią ya kuiokoa Yemen kutoka kwenye mikono ya magaidi hao wanaoungwa mkono na Iran

Wanatokea wapi
 
Back
Top Bottom