Wahitimu wa Vyuo tuache kulalamika

Wakati tukiendelea kuwapa KURA watu waweze kushinda....
Usisahau na wewe pia una nafasi ya kuwa mshindi, hata nje ya FURSA hii....

(Infinix, Oppo, Samsung, TECNO) Download & install, Ni rahisi sana kupitia link hii....




unaweza Kujipatia michongo, na Fursa nyingi tu...

HUWEKEZI CHOCHOTE
Hii sio ONLINE MARKETING
USIMTUMIE MTU YEYOTE HELA YAKO
EPUKA MATAPELI
HUDUMA NI BURE
Download app hiyo, jisajili kawaida (iko kwa kiswahili) ukikwama nipo hapa kusaidia hii fursa tuitumie Wote hasa sisi vijana

UKIPUUZA SAWA, UKICHUKUA SAWA,
HULAZIMISHWI KUPATA PESA NI MAAMUZI YAKO
Nimedownload na kuweka details tayari, Ila sijajua napostije hizo ajira make sizion, msaada
 
HUNA TOFAUTI KUBWA NA MIMI

MIMI INTERVIEW NAZIKIMBIA MWENYEWE ....MWEZI UJAO KUNA MAKAMPUNI YA MAFUTA NA GESI NAHITAJIKA KWA INTERVIEW ,NA HAPA NIPO KAZIN MZUNGU ANANIANDAA KUSHIKA NAFAS YA JUU KWA UPILI....

Rafiki zangu wao kulalanika tu, hata SITES za kutafutia ajira hawazijui
Waambie Sasa hizo sites na wao wazijue.....usibaki kimya.
 
Mtoa post badala ya kushukuru Mungu kwa kumjalia aona wenzie vilaza...



Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Mtoa mada yuko sahihi sana.
Ameeleza vizuri kwamba kuna kundi la vijana wavivu na wanalalamika bila juhudi na ni wepesi kukata tamaa.

Kumuingiza Mungu kama kichaka cha kuficha uzembe si sahihi
Mleta uzi hajasema watu wote wasio na ajira ni wazembe wala hajasema watu wote wenye shahada wanaweza kuajiriwa
Huko ni kupotosha makusudi, kila mmoja anafahamu hatuwezi kuajiriwa wote.

Mtoa mada amesema kuna kundi la watu wavivu na wasiojishughulisha wewe ulipaswa useme kama kundi hilo lipo au halipo kwa mujibu wa utafiti wako

Wengi mliomshambulia mleta uzi ni kwasababu amesema ukweli na ukweli mtupu na hii ndio sababu hata majirani zetu wakenya wanasema watanzania wengi ni wavivu, si wepesi wa kuchangamkia fursa.

Huu ni UKWELI ambao hatutaki kuambiwa kwa kisingizio cha MUNGU na BAHATI.



Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada yuko sahihi sana.
Ameeleza vizuri kwamba kuna kundi la vijana wavivu na wanalalamika bila juhudi na ni wepesi kukata tamaa.

Kumuingiza Mungu kama kichaka cha kuficha uzembe si sahihi
Mleta uzi hajasema watu wote wasio na ajira ni wazembe wala hajasema watu wote wenye shahada wanaweza kuajiriwa
Huko ni kupotosha makusudi, kila mmoja anafahamu
Waihitimu wengi ukiachia mbali ukosefu wa elimu ya tehama ambao umechangia kwa kiasi kikubwa kutoweza kufungua website zilitojwa hapo juu kwa ajili ya kazi na fursa tofauti.

Wahitimu hawajui kabisa kutumia Internet kwa ajili ya manufaa ya Career zao.

Wengi wanatumia Internet kwa ajili ya Facebook,watsapp kwa wadada ni insta.

Haipiti siku bila wao kuingia kwenye hizo platforms za social media.


Mfano mimi enzi zangu...nilikua kila siku iendayo kwa Mola lazima niwe nimetembelea Web moja ya kazi niangalie fursa za siku hiyo na kwa sababu nilikua nimejisajili huko kwenye hizo platforms za kina ajiriwa.net, mabumbe ,psrs na zinginezo ilikua rahisi ku track na ilikua haraka sana kupata kazi maana hizo platform unaweka mpaka CV zako...recruiters wakija wanaikuta cv wanaipitia.


Lakini sasa hivi mtu yuko Snapchat, instagram etc na hakauki huko.

Ana muda wa ku edit cv yake.....mara ya mwisho ku edit sijui mwaka 2013


So kuwa wavivu kwenye mambo ya msingi kunatu cost sana


Na pia elimu ya tehama bado haijawa mastered kwa most of the graduates ...wengi wanatumia laptops zao kuangalia seasons na tamthilia za kikorea.

Huku wakitegemea wenzao walio maofisini wawa connect wao wako bize na seasons.


Over.
 
Back
Top Bottom