Wahitimu vyuo vya mifugo wasota miaka miwili

Wahitimu vyuo vya mifugo wasota miaka miwili

ngonani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
1,366
Reaction score
598
lEO ni takriban miaka miwili,vijana waliohitimu vyuo vya kilimo na mifugo wanasota mitaani na diploma zao-hivi ni kweli tunao wataalamu wa kutosha katika sekta hiyo hadi kuachia hiyo nguvu kazi ikizurula mtaani?serikali yetu kila siku inalia ukosefu wa wataalamu vijijini.
 
leo ni takriban miaka miwili,vijana waliohitimu vyuo vya kilimo na mifugo wanasota mitaani na diploma zao-hivi ni kweli tunao wataalamu wa kutosha katika sekta hiyo hadi kuachia hiyo nguvu kazi ikizurula mtaani?serikali yetu kila siku inalia ukosefu wa wataalamu vijijini.

mkuu ucongee hyo ktu,kuna baadh ya halmashaur hazna hata afisa ugani/kilimo wa kijij achilia mbal wa kata.halaf bdo kinadharia wanatudanganya ma sera zao bandia za kilimo kwanza.
 
ni juz kati tu utumishi wamehamasisha watu wasome kilimo kumbe kuna watu miaka 2 hawajaajiriwa?!?! huu utawala ni ushuzi mtupu la maana hakuna.
 
lEO ni takriban miaka miwili,vijana waliohitimu vyuo vya kilimo na mifugo wanasota mitaani na diploma zao-hivi ni kweli tunao wataalamu wa kutosha katika sekta hiyo hadi kuachia hiyo nguvu kazi ikizurula mtaani?serikali yetu kila siku inalia ukosefu wa wataalamu vijijini.

subra yahitajika zaidi, kwa kuwa serikali ilishaahidi kuajiri 2500
 
Back
Top Bottom