brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
MAKOCHA wawili kutoka klabu ya
Deportivo Tenerife ya Hispania
wamewasili jioni ya leo kwa ajili ya
kuja kufanya mazungumzo ya kusaini
Mkataba wa kufundisha Azam FC.
Makocha hao Jonas Garcia Luis na
Zebensul Hernandez Rodriguez
wamewasili Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),
Dar es Salaam Saa 10:00 jioni kwa
ndege ya Emirates na kupokewa na
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad
Kawemba.
Mara baada ya kuwasili JNIA,
makocha hao walisema kwamba
wanatarajia kupata mwongozo wote
kutoka wenyeji wao na wasingeweza
kuzungumza mambo mengi.
Kawemba alisema kwamba wawili hao
wamekuja kwa mazungumzo ambayo
kama yatakwenda vizuri wataajiriwa
kwa ajili ya kufundisha timu kuanzia
msimu ujao.
Mtihani mkubwa utakuwa lugha ya kufundishia huku spanish kule kiswahili
Deportivo Tenerife ya Hispania
wamewasili jioni ya leo kwa ajili ya
kuja kufanya mazungumzo ya kusaini
Mkataba wa kufundisha Azam FC.
Makocha hao Jonas Garcia Luis na
Zebensul Hernandez Rodriguez
wamewasili Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),
Dar es Salaam Saa 10:00 jioni kwa
ndege ya Emirates na kupokewa na
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad
Kawemba.
Mara baada ya kuwasili JNIA,
makocha hao walisema kwamba
wanatarajia kupata mwongozo wote
kutoka wenyeji wao na wasingeweza
kuzungumza mambo mengi.
Kawemba alisema kwamba wawili hao
wamekuja kwa mazungumzo ambayo
kama yatakwenda vizuri wataajiriwa
kwa ajili ya kufundisha timu kuanzia
msimu ujao.
Mtihani mkubwa utakuwa lugha ya kufundishia huku spanish kule kiswahili