Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,417
Tatizo la ukabila tanzania halikuondoka..na zaidi linasababishwa na kila kabila kujiona...wao bora.
Miaka ya nyuma waajiri wakuu ni serikali na mashirika yake.
Serikalini tangu uhuru hakuna muhindi alea ajiriwa huko.ni waafrika watu.iwe jeshini
Polisi
Wizarani au manispaa. Miaka ile wahindi walinyanganywa na mali zao na Nyerere.
Sasa ukija kwenye ajira kama shirika ni Myachusa basi huko utasikia kilugha chao tu..hivyo kwa wahaya na wengine.
Wakati huo wahindi wakabaki masikini na viduka wala wakiuza pipi.
Waafrika hawakua wana lalamika wakati ule kwani kazi xote zao..wakalemaa kwa kubebana hatimae mashitika yale yaka dondoka moja baada ya lingine....yakawa mzigo....
Imekuja sera huria sasa waajiri wakuu ni wafanya biashara...sasa hawa hawachagui tena kwa kilugha bali elimu na uwezo..na hapa ndo kuna tatizo....
Tatizo hili lilo mpaka nje . Watanzania hawaajjiriki .sasa haya malalamiko ni kulia lia tu.badilikeni