Wahindi wanatuharibia nchi

AKILI na moyo wangu upo swafii "ninawapenda WAHINDI,WAAFRIKA,WADHUNGU,WACHINA,nk nk" sina kinyongo wala chuki na kiumbe yyte!!

rejea comments /posts za wenzio "poor pippo walivyobobea chuki"
Sawa kiongozi nimekuelewa.. Unachosema ni kweli.. Ila wageni waheshimu sheria za nchi si ndio?
 
Nafanya kazi na wahindi kwa mwaka wa 3 sasa. Hawa watu wanadhan wao ndio wanastahili kupata pesa tu, na niwanyonyaji sana. Ndio maana mimi nikiwaotea napiga ndefu sana ili tuheshimiane.

Duc in Altum
 
Jamani wahindi nao ni binadamu kama sisi tu sidhani kama Kuna tofauti. Kama ambavyo kuna baadhi ya Watanzania ambao wana roho nzuri, mbaya na za wastan na ndo hali ilivyo pia kwa wahindi.
 
Eti mhindi kaajiri, uliza wanalipwa sh ngapi hao walio ajiriwa? Na kunyanyasika juu! Wana roho mbaya sn
Usikurupuke ndg. Chris !! tulia acha papara Chris Ibra!! Jiweke ktk Utajiri au Uwekezaji mwenye majukumu ya kujenga ufalme/nchi/bishara/ maisha !!

rudia commet yako juu... hiyo inatugusa sote waTZ ktk kuwa kuwatendea wafanykazi wa nyumbani ' hardly kama tunawalipa laki 1!!

Halafu uliza Serikali nzima ina watumishi wangapi including jeshi??!?? Ukisha pata jibu ..sasa ulinganishe na hao waajiriwa kwa Wahindi ni wangapi? Hapo utapata jibu lako.. chini ya idadi ya waTZ milioni49.. Naona Chris hapo utaona aiybu kupauyka !!!
 
Mbaya zaidi wanaendesha biashara zao kwa mikopo toka kwny bank zetu tena kwa masharti nafuu kitu ambacho wazawa hatupati
 

Weka akili yako katika mazingira bila ya kiroba halafu fikiria bila ya hawa...kujitahidi kuchukua risks za kibiashara na wakaweza kuajiri bguguzo wengi hali ingekua vipi?
zaidi ya mengi sioni mtu serious anaye wezakujotolea kuchukua risks za kufungua viwanda na biashara kubwa
hawa wamei saidia sana nchi hii kuliko wewe baba ako na babu zako wakichanganywa kwa pamoja
nyumba za NHC ni za mababu zao zilitaifishwa hazija jengwa na ccm wala serikali

leo lifikirie jiji la Dar tu peke ya..Samora...,
azikiwe
mnazi mmoja
ohio
bibi titi
sokoine
kariakoo
masaki--
msasani
changombe viwandani
nyerere road viwandani
mbezi viwandani
kila kona haa jamaa wamechukua risks na ku invest ili wewe upate kazi na serikali ipate kodi

Maadam umeleta ubaguzi na mimi nakumalizia kwa ubaguzi ..wewe kama mwafrika mtanzania umefanya nini kuwasaidia wwenzako wapate kazi ? wewe au wengine wamefanya kiasi gani kusaidia wenzao wapate kazi au kodi ?
waafrika wengi wakipata watafungua bar au sehemu ya disco..wachache sana walosoma wenye mawazo kama ya wahindi ndio wanafanya kweli..hawa ni kina mengi ambao wenye wameajiri wahindi kibao..
kwa ufupi usichukulie makosa ya hapa na pale ukajamba ubaguzi...wahindi ni raia wa nchii hii wamefanya mengi mnooooo kuliko hata wafrika kwa ujimla wao..
wamekujengea Muhimbili hospital
walikujengea first jengo la bunge
majengo ya mwanzo mengi yalio kuwa na ofisi za serikali ni ya wahindi yalochukuliwa
wahindi ndio walokuja kujenga reli hii ya kati....walitoka kwao kama manamba na kuja kuijenga kutoka Dar mpaka Kigoma..wajerumani walikua na nyinyi hapa lakiki aliona mna kasoro akachukua manamba wa wakihindi
hata mchina alipo jenga tazara alileta wafungwa waki china kibao..na juzi uwanja wa Taifa..

wacha maneno ya kijiweni kama hujui mjii huu na nchii hii nani ameifikisha kimaendeleo angalau hapa ilipo...

sasa safiri uende Tanga
Mwanza
tabora
znz
arusha
moshi mjini
kila sehemu ya town hali ni hio hio ..wamefanya mengi..na uchache wao lakini walofanya ni zaidi ya wewe ulofanya na wenzako..WACHA UBAGUZI
 

Do you think nimekurupuka!? No, Nimeshafanya nao kazi nawajua vzr sana.

Then tuheshimiane hapa nimecomment kutokana na ninavyowafaham, futa hiyo kauli ya kusema nime payuka!
 
Do you think nimekurupuka!? No, Nimeshafanya nao kazi nawajua vzr sana.

Then tuheshimiane hapa nimecomment kutokana na ninavyowafaham, futa hiyo kauli ya kusema nime payuka!
Mkuu CI nafuta kauli ya kupayuka ....(ahsante) !!
ila FYI, ujuwe wapo waTZ zaidi ya mamilioni bado wanafanya kazi kwa wahindi...na wataendelea kufanya kazi kwa WAHINDI kwa miaka iliyobaki !! Wapo watu wanawajibika na kuithamini ajira hiyo ili wajenga maisha yao !! Usidhani wewe unawajua Wahindi ndiyo wengine wakusikie !!!
Inatosha kuwa WAHINDI wameajiri wananchi wengi kuliko serikali ilivyoajiri !! Inatosha WAHINDI kuijenga nchi na kuweza kuleta MVUTO wa KIMATAIFA !!
 
MKUU, KIONGOZI chukuwa Likes 1,000,000 na chukuwa AHSANTE 1,000,000,000......

nyongeza Barabara ya PUGU hapo Daresalaam VIWANDA VYA WAHINDI vimepangana kulia na kushoto kama matuta ya shambani kwao !!!!!!

Mungu azidi kuwabariki wenye nia njema.
 
narekebsha kidogo sio hatuwatak wahindi bali watuheshmu na kuheshimu nchi yetu
 
mkuu bora umemwambia, wao kila kitu ni chuki tu
 
bro we muhindi nini...?hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea wahindi...hawa watu huwa kulipa kodi ni msamiati....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…