Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Shukran ndugu.. umemaliza yote "tunahitaji kubadilika" !!Asanteni mada ya wahindi sikuwa mwanachama lakini mada imenigusa nimejisajili na maoni yangu: Mimi nimechanganya mhindi, mbulu na mzigua. Nimelelewa na bibi mhindi. Jamani no nidhamu nidhamu nidhamu. Nilifundishwa na bibi kuwa mwanamke u we mbunifu mwanamke ujitume mwanamke lazima ufiche akiba iko siko mume atakosa. Mchana hatukuruhisiwa kulala tulipika maandazi, tulitwanga hina n.k. wali ukibaki tunaanika na siku pesa hakuna tunakaanga na kunywa na chai. Mhindi hata mzee atafanya shughuli yeyote ile. Mhindi hafanyi kufuru ya pombe wala chakula na hata siku moja hutaona wakitupa chakula. Mhindi hajazi ndugu ndani ya nyumba waliokaa bure wakitegemea kaka a shemeji no aibu na matusi makubwa sio wenye nyumba wameamka kutafuta riziki wewe upo unakunywa chai ya bure kisha kwenye TV unabadilisha channel. Mhindi akichukua mkopo anaotakiwa kulipa tarehe 1, tarehe 25 mhindi amesharejesha. Kweli wapo wanyanyasaji lakini pia inakera mtu 1 hr ofisini anakunywa chai, kazi ya dakika 30 inachukua masaa 3, kill kit no matayarisho Jamani unajijua uta retire a utazeheka je mwili umeutayarisha? Akili je, akiba je? Mhindi akipata 10,000 atatumia 4000 anajua kupata sio kila siku. Wahindi wana mema yao na waafrika mema yao ni wana imani, wanasaidiana na pia kulemazana. Hivyo wote wanahitaji kubadilika. No mengi ya kusema mhindi hachezei pesa eti vikao au mchango wa harusi nje ya uwezo ajili ya show off hakuna kitu kama hicho Jamani ni mhindi na ni muafrika I am proud of both especially nikiitwa mbulu sijui mtanihukumu vipi. Na kuna maarifa mengi sana kuhusu maisha. Thank bros and sisters kama nimekosea kumradhi
Akili yako ya kipumbavu sana Ingekuwa idd amin Yupo ningekupeleka akukate kichwa. pumbafuuuNyiendo hamulitakii heri hili liimchi !! "tunasikia " Mtasikia mengi sana.. Fungueni MASIKIO yalo kufa !!
Nchi Kavu bila wahindi nchi itaenda bila dira, nchi itayumba, nchi itafilisika, nchi itakufa kwa magonjwa... nk nk !!
Nahizo nyumba muzsemayo muzionayo ni asili yake zilikuwa za wa hindi na ndo walozijenga !!! ULIZENI mababu !!...acheni kukurupuka na kupayuka ubaguzi na chuki !!! UCHUMI WANAOUJUWA NI WAHINDI..nyie niwatu wa kufilisi na UFISADI tu !! Hata Hospitali KUU YA MUHIMBILI ni ya MUHINDI..ila mulipo imiliki mkawalaza wazawaa chini kama siyafu na FUNZA !! "DUNIA haijapa kuona hayo !!!
hyusuph tafadahli tumia akili usitumie moyo wa CHUKI !!
Asanteni mada ya wahindi sikuwa mwanachama lakini mada imenigusa nimejisajili na maoni yangu: Mimi nimechanganya mhindi, mbulu na mzigua. Nimelelewa na bibi mhindi. Jamani no nidhamu nidhamu nidhamu. Nilifundishwa na bibi kuwa mwanamke u we mbunifu mwanamke ujitume mwanamke lazima ufiche akiba iko siko mume atakosa. Mchana hatukuruhisiwa kulala tulipika maandazi, tulitwanga hina n.k. wali ukibaki tunaanika na siku pesa hakuna tunakaanga na kunywa na chai. Mhindi hata mzee atafanya shughuli yeyote ile. Mhindi hafanyi kufuru ya pombe wala chakula na hata siku moja hutaona wakitupa chakula. Mhindi hajazi ndugu ndani ya nyumba waliokaa bure wakitegemea kaka a shemeji no aibu na matusi makubwa sio wenye nyumba wameamka kutafuta riziki wewe upo unakunywa chai ya bure kisha kwenye TV unabadilisha channel. Mhindi akichukua mkopo anaotakiwa kulipa tarehe 1, tarehe 25 mhindi amesharejesha. Kweli wapo wanyanyasaji lakini pia inakera mtu 1 hr ofisini anakunywa chai, kazi ya dakika 30 inachukua masaa 3, kill kit no matayarisho Jamani unajijua uta retire a utazeheka je mwili umeutayarisha? Akili je, akiba je? Mhindi akipata 10,000 atatumia 4000 anajua kupata sio kila siku. Wahindi wana mema yao na waafrika mema yao ni wana imani, wanasaidiana na pia kulemazana. Hivyo wote wanahitaji kubadilika. No mengi ya kusema mhindi hachezei pesa eti vikao au mchango wa harusi nje ya uwezo ajili ya show off hakuna kitu kama hicho Jamani ni mhindi na ni muafrika I am proud of both especially nikiitwa mbulu sijui mtanihukumu vipi. Na kuna maarifa mengi sana kuhusu maisha. Thank bros and sisters kama nimekosea kumradhi

Nimekupa like kwa unayopitia. Mimi nina ndugu zangu wadada wawili walikuwa wanafanya kazi kwa wahindi enzi hizoooo, wakawazalisha, mmoja wa kiume na mwingine wa kike. Dada zangu wale walitelekezwa na hao wahindi na wakalea wenyewe kwa mbinde. Watoto sasa wamekua na hawatambuliki kwenye jamii ya kihindi kwa LOLOTE. Labda unasemea wale wahindi wanaofanana na sisi. Wale wanaotokea Culcata India ambao ni maji ya kunde na wengine ni weusi tii ka mimiAsanteni mada ya wahindi sikuwa mwanachama lakini mada imenigusa nimejisajili na maoni yangu: Mimi nimechanganya mhindi, mbulu na mzigua. Nimelelewa na bibi mhindi. Jamani no nidhamu nidhamu nidhamu. Nilifundishwa na bibi kuwa mwanamke u we mbunifu mwanamke ujitume mwanamke lazima ufiche akiba iko siko mume atakosa. Mchana hatukuruhisiwa kulala tulipika maandazi, tulitwanga hina n.k. wali ukibaki tunaanika na siku pesa hakuna tunakaanga na kunywa na chai. Mhindi hata mzee atafanya shughuli yeyote ile. Mhindi hafanyi kufuru ya pombe wala chakula na hata siku moja hutaona wakitupa chakula. Mhindi hajazi ndugu ndani ya nyumba waliokaa bure wakitegemea kaka a shemeji no aibu na matusi makubwa sio wenye nyumba wameamka kutafuta riziki wewe upo unakunywa chai ya bure kisha kwenye TV unabadilisha channel. Mhindi akichukua mkopo anaotakiwa kulipa tarehe 1, tarehe 25 mhindi amesharejesha. Kweli wapo wanyanyasaji lakini pia inakera mtu 1 hr ofisini anakunywa chai, kazi ya dakika 30 inachukua masaa 3, kill kit no matayarisho Jamani unajijua uta retire a utazeheka je mwili umeutayarisha? Akili je, akiba je? Mhindi akipata 10,000 atatumia 4000 anajua kupata sio kila siku. Wahindi wana mema yao na waafrika mema yao ni wana imani, wanasaidiana na pia kulemazana. Hivyo wote wanahitaji kubadilika. No mengi ya kusema mhindi hachezei pesa eti vikao au mchango wa harusi nje ya uwezo ajili ya show off hakuna kitu kama hicho Jamani ni mhindi na ni muafrika I am proud of both especially nikiitwa mbulu sijui mtanihukumu vipi. Na kuna maarifa mengi sana kuhusu maisha. Thank bros and sisters kama nimekosea kumradhi
Tumesikia kuhusu ishu ya IMTU kipindi kile ambapo walikuwa wakitumia miili ya binadamu kufanyia mazoezi kwa vitendo na kisha kwenda kutupa viungo huko kwenye machimbo ya mchanga
Ahsante sana !!Akili yako ya kipumbavu sana Ingekuwa idd amin Yupo ningekupeleka akukate kichwa. pumbafuuu
Asanteni mada ya wahindi sikuwa mwanachama lakini mada imenigusa nimejisajili na maoni yangu: Mimi nimechanganya mhindi, mbulu na mzigua. Nimelelewa na bibi mhindi. Jamani no nidhamu nidhamu nidhamu. Nilifundishwa na bibi kuwa mwanamke u we mbunifu mwanamke ujitume mwanamke lazima ufiche akiba iko siko mume atakosa. Mchana hatukuruhisiwa kulala tulipika maandazi, tulitwanga hina n.k. wali ukibaki tunaanika na siku pesa hakuna tunakaanga na kunywa na chai. Mhindi hata mzee atafanya shughuli yeyote ile. Mhindi hafanyi kufuru ya pombe wala chakula na hata siku moja hutaona wakitupa chakula. Mhindi hajazi ndugu ndani ya nyumba waliokaa bure wakitegemea kaka a shemeji no aibu na matusi makubwa sio wenye nyumba wameamka kutafuta riziki wewe upo unakunywa chai ya bure kisha kwenye TV unabadilisha channel. Mhindi akichukua mkopo anaotakiwa kulipa tarehe 1, tarehe 25 mhindi amesharejesha. Kweli wapo wanyanyasaji lakini pia inakera mtu 1 hr ofisini anakunywa chai, kazi ya dakika 30 inachukua masaa 3, kill kit no matayarisho Jamani unajijua uta retire a utazeheka je mwili umeutayarisha? Akili je, akiba je? Mhindi akipata 10,000 atatumia 4000 anajua kupata sio kila siku. Wahindi wana mema yao na waafrika mema yao ni wana imani, wanasaidiana na pia kulemazana. Hivyo wote wanahitaji kubadilika. No mengi ya kusema mhindi hachezei pesa eti vikao au mchango wa harusi nje ya uwezo ajili ya show off hakuna kitu kama hicho Jamani ni mhindi na ni muafrika I am proud of both especially nikiitwa mbulu sijui mtanihukumu vipi. Na kuna maarifa mengi sana kuhusu maisha. Thank bros and sisters kama nimekosea kumradhi
Mpendwa chukuwa Likes 100,000 Ahsante... tena wapo wahindi nchi nyingi km:- JAMAICA,CARIBEANs,SA,SUDAN,UARABUNI, ULAYA,nk nk !!Mbona wahindi south Africa wana adabu na wanishi vizuri bongo sisi wenyewe ndio tatizo linapoanza
Mbona wahindi south Africa wana adabu na wanishi vizuri bongo sisi wenyewe ndio tatizo linapoanza
Mariam nimependa Article yako na una bahati kuchanganya kwani unaweza kuchukua mazuri ya pabnde zote tatu. Wito kwa kweli Watanznia tuthamini kazi!Asanteni mada ya wahindi sikuwa mwanachama lakini mada imenigusa nimejisajili na maoni yangu: Mimi nimechanganya mhindi, mbulu na mzigua. Nimelelewa na bibi mhindi. Jamani no nidhamu nidhamu nidhamu. Nilifundishwa na bibi kuwa mwanamke u we mbunifu mwanamke ujitume mwanamke lazima ufiche akiba iko siko mume atakosa. Mchana hatukuruhisiwa kulala tulipika maandazi, tulitwanga hina n.k. wali ukibaki tunaanika na siku pesa hakuna tunakaanga na kunywa na chai. Mhindi hata mzee atafanya shughuli yeyote ile. Mhindi hafanyi kufuru ya pombe wala chakula na hata siku moja hutaona wakitupa chakula. Mhindi hajazi ndugu ndani ya nyumba waliokaa bure wakitegemea kaka a shemeji no aibu na matusi makubwa sio wenye nyumba wameamka kutafuta riziki wewe upo unakunywa chai ya bure kisha kwenye TV unabadilisha channel. Mhindi akichukua mkopo anaotakiwa kulipa tarehe 1, tarehe 25 mhindi amesharejesha. Kweli wapo wanyanyasaji lakini pia inakera mtu 1 hr ofisini anakunywa chai, kazi ya dakika 30 inachukua masaa 3, kill kit no matayarisho Jamani unajijua uta retire a utazeheka je mwili umeutayarisha? Akili je, akiba je? Mhindi akipata 10,000 atatumia 4000 anajua kupata sio kila siku. Wahindi wana mema yao na waafrika mema yao ni wana imani, wanasaidiana na pia kulemazana. Hivyo wote wanahitaji kubadilika. No mengi ya kusema mhindi hachezei pesa eti vikao au mchango wa harusi nje ya uwezo ajili ya show off hakuna kitu kama hicho Jamani ni mhindi na ni muafrika I am proud of both especially nikiitwa mbulu sijui mtanihukumu vipi. Na kuna maarifa mengi sana kuhusu maisha. Thank bros and sisters kama nimekosea kumradhi
Akili yako ipo sawa kweli?Nyiendo hamulitakii heri hili liimchi !! "tunasikia " Mtasikia mengi sana.. Fungueni MASIKIO yalo kufa !!
Nchi Kavu bila wahindi nchi itaenda bila dira, nchi itayumba, nchi itafilisika, nchi itakufa kwa magonjwa... nk nk !!
Nahizo nyumba muzsemayo muzionayo ni asili yake zilikuwa za wa hindi na ndo walozijenga !!! ULIZENI mababu !!...acheni kukurupuka na kupayuka ubaguzi na chuki !!! UCHUMI WANAOUJUWA NI WAHINDI..nyie niwatu wa kufilisi na UFISADI tu !! Hata Hospitali KUU YA MUHIMBILI ni ya MUHINDI..ila mulipo imiliki mkawalaza wazawaa chini kama siyafu na FUNZA !! "DUNIA haijapa kuona hayo !!!
hyusuph tafadahli tumia akili usitumie moyo wa CHUKI !!
AKILI na moyo wangu upo swafii "ninawapenda WAHINDI,WAAFRIKA,WADHUNGU,WACHINA,nk nk" sina kinyongo wala chuki na kiumbe yyte!!Akili yako ipo sawa kweli?