Capital
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,452
- 1,038
Utangulizi
Wahindi ni jamii ya wageni waliofika TZ na Africa ya mashariki kwa vipindi mbali mbali na kwa madhumuni mbali mbali. Wengi walifika kipindi cha ukoloni hasa baada ya waingereza kuitwaa Tanganyika baada ya vita ya kwanza ya Dunia. Tokea kipindi hicho wahindi wamekuwa wakiongezeka taratibu. Wahindi ni watu wenye kujituma sana na wana nidham sana na kazi zao. Pia wana umoja baina yao. Pamoja na mazuri hayo, wana ubaguzi wa hatari sana ambao wameurithi tokea kwao (caste system) ambapo jamii yao ina matabaka. Tabaka la juu ndo hutoka viongozi na tabaka la chini ndo kuna ombaomba, wafanyakazi wa mashambani na wafagiaji vyoo. Leo sina nia ya kuelezea matabaka haya au kuonesha ubaguzi bali ni kwa jinsi gani wahindi hawafanyi biashara kwa maendeleo ya Tanzania, bali kwa maslahi mapana ya India na ya kwao binafsi.
Tuanze na historia fupi ya Wayahudi, ambayo wahindi waliiga
Mwaka 1914, dunia iligubikwa na vita kuu ya kwanza ya dunia ambapo madola yenye nguvu yalipigana vita. Sababu zilikuwapo japo kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake kuhusu hizo sababu. Nchini Ujerumani wakati huo kulikuwepo Wayahudi wengi sana, wakijihusisha na biashara mbalimbali kama ilivyo kwa wahindi wa hapa kwetu. Miaka hiyo, walikuwepo viongozi wa wayahudi katika nchi zingine ulaya na Marekani, na vichwani mwa hao viongozi kulikuwa na wazo la kuunda Taifa la kiyahudi mara tu Uingereza inapokabidhi eneo la mashariki ya kati. Katika vita ya kwanza ya dunia, Wayahudi wa Ujerumani walikuwa upande wa adui, (Uingereza) wakiwa na miadi ya kutengenezewa taifa lao la Israel. Wayahudi wa ujerumani walionesha usaliti wa wazi wazi kwa nchi ambayo ilikiwa imewahifadhi kwa kipindi kirefu. Wajerumani walisusa kununuwa bidhaa kutoka hadi kwenye maduka yao lakini haikusaidia. Hatimaye Ujerumani ilishindwa katika ile vita, na matokeo yake ilipokonywa makoloni yote ya Afrika, Asia na kwingineko. Hapa sisemi kuwa Wayahudi wa Ujerumani walikuwa sababu ya kushindwa vita, la. Kwa kifupi wayahudi hawa hawakuonesha uungwana kwa nchi ambako mafanikio yao yalipatikana.
Mwaka 1933, nduli Adolf Hitler alishida uchaguzi kuwa Chancellor wa Ujerumani. Aliamua kukomesha usaliti wa wayahudi waliouonesha 1914-1918. Wao wanaita "jewish holocaust". Nina imani hii habari ya Hitler na Wayahudi si mpya kwa wasomaji. Ni kweli kuwa usaliti wa Wayahudi ulilipa sana, kwani mnamo mwaka 1948, taifa la Israel liliundwa rasmi na Uingereza na Marekani, miaka mitatu tu baada ya kumalizika vita ya pili ya dunia.
Turudi kwetu sasa
Wahindi wa Tz wamefaidi kwa kiwango kikubwa raslimali za nchi yetu, iwe halali au kwa magumashi. Hadi sasa uchumi wa TZ unamilikiwa na wahindi kwa zaidi ya asilimia 80, huku asilimia 20 iliyobaki ikimilikiwa na wazawa. Wahindi wanaleta bidhaa kibao za India yakiwemo magari, mitambo, nguo, ngano, vifaa vya ujenzi, vipuri na madawa na vingine kibao bila vikwazo, wakijipatia faida nono. Juzi kati, Tz na India tulikuwa na mahusiano mazuri ya biashara, tukiwa tunawauzia korosho na mbaazi kwa wingi. Angalau Tz ilikuwa inapata vidola kidogo. Jeuri ya pesa na connections walizo nazo Wahindi huwafanya wajione daraja la kwanza na wabongo tunaonekana daraja la chini. Inafika mahala wao huona sheria zetu si kitu na saa nyingine hata heshima kwa mamlaka hawana. Katika kurejesha nidham ya nchi hapo majuzi, kuna wahindi kadhaa waliguswa.. wakapelekwa mahakamani na mambo kama hayo. Kilochotokea, walilipiza kisasi moja kwa moja kwa kukataa kununuwa tena mbaazi kutoka Tz kwa visingizio kibao. Bei ya mbaazi iliporomoka toka TZS 3500 hadi TZS 150 kwa kilo. Tz ikawa imepata hasara sana sina takwimu sahihi ni hasara kiasi gani ilitokezwa lakini si chini ya kati ya TZS 300-500 billioni. Hiyo ni pesa nyingi sana kama ingeibgia kwenye uchumi wa nchi maana ilikuwa inaenda moja kwa moja kwa mkulima wa chini. Wahindi wapo tu, wametulia kimya kama vile hatujui wanachokifanya.
Sasa...
Je, kuna tofauti kati ya Wahindi wa Tz na Wayahudi wa Ujerumani? Wahindi hawana cha kupoteza iwapo Tz itakuwa maskini au tajiri. Kwa nini hawana fadhila kiasi hiki? Je kwa nini sisi tunawachekea wakati wenyewe wako serious? Ina maana sisi ni mazwazwa kiasi hicho, hadi kushindwa kutambua hila za Wahindi dhidi yetu? Wahindi hawataki hata kuchangamana nasi hata kwenye mambo ya kitaifa, taifa linalowahifadhi, linalowapatia utajiri. Wahindi huwezi kuwakuta jeshini, au ofisi za uma au kokote ambako kuna maslahi ya nchi. Kingine hawa jamaa ni wakwepaji wa kodi wakubwa maana kwa kutoa rushwa wako vizuri.
Nahitimisha kwa kusema: Tz tujitafakari iwapo wahindi au wakuja wengine wanatufaa au la. Kwa ufupi Tanzania haina faida yoyote kutoka kwa Wahindi. Wahindi nao wajitathmini mienendo yao. Hatutaki kuchukuwa hatua kama Idd Amini Dada.. ila mtendalo siyo sawa hakika.
Karibuni tujadili