Wahindi Walalamikia Ukubwa wa Kondomu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
4550082.jpg

Saturday, May 29, 2010 1:40 AM
Utafiti uliofanyika nchini India umeonyesha kuwa wanaume wengi nchini India hawafurahishwi na ukubwa wa kondomu unaotambulika duniani kwakuwa kondomu hizo ni kubwa sana kulinganisha na ukubwa wa nyeti zao. Utafiti huo uliowashirikisha wanaume 1,000 wa nchini India ulionyesha kuwa kondomu zenye ukubwa unaotambulika kimataifa huwapwaya wanaume wengi wa nchini India.

Utafiti huo uliweka wazi kuwa zaidi ya nusu ya wanaume walioshiriki utafiti huo walikuwa na uume ambao ulikuwa ni mfupi kulinganisha na ukubwa wa kondomu.

Utafiti huo uliofanyika kwa miaka miwili uliweka wazi kuwa asilimia 60 ya wanaume nchini India wana uume wenye urefu kati ya sentimeta tatu hadi tano pungufu ya ukubwa wa kondomu unaotambulika duniani.

Matokeo ya utafiti huu yamepelekea makampuni ya kutengeneza kondomu nchini India yatakiwe kutengeneza kondomu zenye ukubwa tofauti tofauti.

Matokeo ya utafiti huu yametiliwa mkazo kwakuwa India ndiyo nchini inayoongoza duniani kwa idadi kubwa ya watu walioathirika na virusi vya Ukimwi.
 
Ukiona kwa mwenzio kunateketea ujue kwako kanavuka moshi,
Dada zandu mnaowasema waume zenu mmesikia?
Wenzenu wanawatafuta kama wenu lakini inakuwa shida,
shangilieni na kufurahieeeeeeeee
 
Utafiti huo uliofanyika kwa miaka miwili uliweka wazi kuwa asilimia 60 ya wanaume nchini India wana uume wenye urefu kati ya sentimeta tatu hadi tano pungufu ya ukubwa wa kondomu unaotambulika duniani.

Someone must be joking... Pengine mwandishi alikuwa na maana ya inchi na siyo sentimeta.:confused2:
 
Huko Uganda niliwahi kusoma habari ya wanaume wakilalamika kuwa kondomu zinazotolewa bure ni ndogo ama kweli binadamu tunatofautiana kimaumbile. Afrika ni wakina Gaetano India bamia
 
its tru wahindi / wachina si o kama waafrika wana they are slightly kidogo and dont last either, shida yenu waafrica ni kwamba mnaona hii mambo nikama chewing gum - mnataka kutafuna saa yote hata when utamu umisha!:angry:
 
Dah hawa jamaa wanavyotamba hapa town kumbe wana Vidude viduchu!lakini inawezekana pia wanapata maambukizi sio kwa sababu hawapendi kuvaa Condom ila ni kwa sababu wanakuwa nazo na wanavaaa ila zina wavuka na kwa uzoefu wangu lile tendo ukishalianza Condomu ikavuka ukiwa umefika katikati,walah ni wachache sana wanaoweza kuacha na kutafuta muafaka mwingine.AU kuna anayebisha!!!
 
Matokeo ya utafiti huu yametiliwa mkazo kwakuwa India ndiyo nchini inayoongoza duniani kwa idadi kubwa ya watu walioathirika na virusi vya Ukimwi.
kuna wengine hujiaminisha kuwa kama ni ndogo ni vigumu kupata ngoma maana msuguano hauwi mkubwa ..nadhani hapa watapata jibu.
 
maskini kizazi kijacho watu watakuwa wadogo kama sisimizi....ukifikiri kizazi cha akina Goliati na hiki cha sasa na kijacho utapata jibu
 
Mungu anajua ku balance hawa wanhekuwa nayo kubwa.. Madada na Mademu zetu wangewazalisha sana!!lakn wapi....wakikohoa tu iko out

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom