makandemoja
Member
- Apr 17, 2016
- 57
- 48
Usiku wa kuamkia leo waziri mkuu wa India ametanganza kwamba hakuna kuchukua pesa benki na baadhi ya pesa za India(Repee) zitabadilishwa ili kuchochea uwezo wa ulipaji kodi na kupunguza rushwa. wananchi wa India wameonekana kuhifadhi rudo la pesa ndani na hio kupelekea ugumu wa ilipaji kodi kwa serikali ya Rais wa India.
Waziri mkuu modi amesema noti za Rs 500 na Rs 1000 hazitakua legal tender kuanzia sasa huku mchakato wa kuchapisha note mpya umesimamiwa na international monetary fund(IMF).
Sasa nashindwa kuelewa kwa nini India isitumie umoja wa mabenki wa India,Russia,Brazil,South Africa na China(BRICS) badala ya IMF?
Hata hivyo BRICS wanazo US$ 75B pale IMF ambazo zinawafanya kua ni muungano wenye Deposit kuliko yote na hivyo kupelekea kuja kuimiliki IMF Baada ya miaka michache.
"."Ni baada ya Tanzania kutaka kuchapisha Note mpya
"."Sioni umuhim wa BRICS kama kila kitu wanafanya IMF