Mhindi, Mkenya hata Mrwanda wakija Tanzania ni kama wako Ulaya ukilinganisha na ugumu wa maisha kwao. Hii ndiyo maana wakija wanakuwa malimbukeni, wabaguzi na washenzi wasio na mfano. Hata wazanzibari wakija bara utawajua. Kwa ufupi ni kwamba pamoja na ufisadi na upuuzi wa serikali ya sasa, Tanzania bado ni lulu kwa wengi hasa wageni. Jiulize ni wageni wangapi wamejazana kwa mfano Dar wakitokea Kenya, India, DRC, Rwanda na kwingineko. Ukiondoa Afrika Kusini, watanzania hawako kwenye nchi tajwa kwa wingi tena wakihaha kama wao wanavyokuja Tanzania. Kwa mtu anayejua India akiwaona wahindi wanavyojifanya miungu watu wakati ni mavi matupu anatamani Mtikila aamke upya.