Wahindi wahama Moshi

TAMUCHUNGU.Laana na baraka zinatoka kwa Mungu. Una imaani gani?Au African tradition religion?
 
kuna wakenya kibao wenye makampuni na mambo yao naona yanakwenda fasta

wataje.acha majibu ya jumla jumla.......au unasema wenye leopard hotel,sal sanero na makampuni ya utalii pamoja na vituo vya mafuta pale kiborloni
 
Nakuunga mkono: mtoto akitumwa nyama buchani anaambiwa- nenda pale kwa chuwa akukatie kilo moja ya steki. Maandalizi ya krismasi: mimi nitashona suti yangu pale kwa arawa. Mtoto akitumwa mjni: nenda ushukie pale kwenye hoteli ya ndesamburo kisha ukanunue hizo spea pale kwa masawe. Asubuhi wakiamka: manka hebu kaniletee bakuri moja ya mtori pale kwa ma matallo. Etc.................. Hata hivyo , mji wa moshi siyo hot trading destination tena, kama wewe ni rational trader huwezi kwenda kufungua biashara Moshi kwani unapokea wageni wachache na umezungukwa na maenoe mengi ambayo huduma za biashara ni nzuri zaidi-taveta, arusha, namanga na hata nairobi. It is a dead city/town anyway.
wachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana
 
TAMUCHUNGU.Laana na baraka zinatoka kwa Mungu. Una imaani gani?Au African tradition religion?

mkuu mimi nina imani tena namwamini mungu kama nakosea nisamehe lakini huo ndio ukweli,nimekaa moshi miaka sita nimekutana na madhila ya wachaga tofauti na nilivokuwa nawafahamu nikikutana nao nje ya moshi.
 
wachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana
acha urongo mi si mchaga na ninapiga kazi katikati ya wachaga na sina tatizo llt
 
wataje.acha majibu ya jumla jumla.......au unasema wenye leopard hotel,sal sanero na makampuni ya utalii pamoja na vituo vya mafuta pale kiborloni

sasa we unaona hizo sio biashara,nani kakuambia sisi tunashindwa kufanya hizo biashara
 
Wachagga wajanja, hawezi kununua kitu kwa mhindi wakati kuna ndugu yake ana kitu hichohicho. Nyinyi hata kama nduguyo ana duka bila kwenda kwa muhindi hujaridhika.
 
yote ambayo tunaweza kuyatupia macho tukumbuke yanapita tu hayakai kwa muda mrefu bali yale ambayo hatuyaoni ndiyo yanadumu........
 
nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani
Unamfahamu Panjwani? usipende kuongea vitu usivyovifahamu..
 
nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani

K'njaro crane hotels, Trust burau de change, Panone, Super white, Five star, NAKUMAT, I cant mention them all, just to mention few of them!!. Hao wote sio wahindi Mkuu.
 
Wachagga wajanja, hawezi kununua kitu kwa mhindi wakati kuna ndugu yake ana kitu hichohicho. Nyinyi hata kama nduguyo ana duka bila kwenda kwa muhindi hujaridhika.
Wateja wakuu wa wahindi k-koo ni wachaga...though bidhaa hizo hizo zinapatikana kwa wachaga pia
 
nikweli mkuu wageni wafanya bihashara wanaogopa kanda ya kaskazini kama ukoma,kuna mzee <msomali>mmoja maarufu sana kwa uhuzaji wa used computer hapa jijini DSM ukoo mzima wamejazana mtaa wa kongo na msimbazi wamefungua maduka mengi sana.siku moja nikamwambia weka branch arusha au kilimanjaro aligoma akasema awezi wachaga wajanja sana watanizidi kete.ila akasema mbeya na mwanza bihashara mzuri sana akuna ushindani.nayeye anajiandaa kuondoka DSM wachina wamesha vamia soko la used comp
 
umesahau kusema moshi palivyo pasafi,
pia niliona kuna namna ya mafanikio
niliona akina mama/dada wengi wakiwa
wanaendesha magari yao tena mazuri tofauti na miaka ya nyuma.
 
Cbief Thomas Marealle ambaye akikuwa ni Paramount Chief wa Wachagga alipoulizwa huko UN kuhusu uhuru wa Tanganyika mwaka 1960 alisema ifuatavyo ; "Mkoloni atoe uhuru kwa Kilimanjaro na Arusha ndizo zilizokuwa tayari na sehemu zingine za Tanganyika zisubiri kwa miaka 50 ijayo".

Lakini kwa ujasiri wa Baba Wa Taifa haikuwezekana kutoa Uhuru kwa Arusha na Kilimanjaro, instead nchi yote ikapata uhuru mwaka 1961.

Kumsingi wachagga ni selfish, tribalist, discriminative na egoists
 
Wewe ni muongo umejua je kama awali kulikuwa na wahindi wakati hujawahi kuzunguka ndo umepata huo muda leo? Ukiwa mwongo unatakiwa uwe na kumbukumbu
 
ulikuwa hujui wachaga hawalali??au unafikiri ni kama wahehe wanavyoburuzwa na waarabu???
wahindi hawahitaji tena kuwepo ili watuchune.... tuna viongozi waandamizi serikalini wanalinda mali zao.... think about it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…