Wahindi na warabu ndio wanao ilea CCM

Wahindi na warabu ndio wanao ilea CCM

Watanzania amkeni hivi mnajuwa kwanini wahindi na warabu huwezi kuwaona wakishiriki kwenye harakati za kudai haki? Mwaka 1995 moja ya sababu mrema kuungwa mkono ni kwasababu alisema wahindi ndio wameshikiria serikali ya ccm chini ya mwinyi. Na kweli wahindi walifanya kila njia k. Kuhakikisha mrema hashindi.

Tangu kipindi hicho wahindi na warabu wameishikiriia serikali ya ccm bila kujari nani raisi maana wao ndio kamati kuu ya ccm nyuma ya pazia. Wahindi na warabu wamejificha kwenye mwavuru wa wawafanya biashara.

Ila ukweli Tanzania hakuna wafanya biasha wa kihindi au wa kiarabu. Hao kina Moe , rosdam, Abood na wengine wengi sio wafanyabiashara kama wengi mnavyo zani. Hao ni wacheza deal za serikali. Hao ndio kwanza waziri kabla hajasign mkataba wowote na compuni yoyote lazima kwanza watowe ruhusa.

Ndio maana tandu awamu ya pili mpaka leo hujawahi kusikia kampuni ya kihindi ikilalamika kubandikiwa kodi au kulalamika kuhusu sheria mbovu za kodi. Kwasababu wafanyabiashara wa kihindi na warabu ndiowadhamini wakuu wa ccm.

Kama mnajuwa rosdam alikuwa mweka hazina wa ccm kwa mda mrefu . Ebu jiurizeni kwa nchi kama Tanzania na chama kama ccm kinawezaje kuwa na muweka hazina ambaya hata sio raia wa Tanzania tena mwarabu. Sasa ili Tanzania iweze kupata uhuru kamili lazima hawa warabu na wahindi tuwape onyo Kari waache kujihusisha na wizi wa mali za umma kwa kushirikiana na serikali ya ccm au sisi wananchi tuanze kuwafanya kama south Afrika walivyo wafanya kwa kuanza kuwafuwata kwenye makazi yao na biashara zao fake.
Wameshikiria
Onyo kari
Jiurizeni
Bila kujari
Wanavyozani...
Bora wahindi na waarabu wanaijua lugha ya Taifa.
We rudi kwenu tu
 
Uhusika was wafanya biashara wakubwa kujifanya kufngamana na Serikali zilizo madarakani n Jambo la kuliangalia kwa Makin Mana hao ndio wahisani wao wakuu.
Mtupe na mifano ya nchi ambazo wafanyabiashara wakubwa hawafungamani na serikali ili nasi tujifunze
 
Sio ubaguzi hao wahindi wanakuja kwetu kuharibu na kuwekeza kwao. Huko kwao mtu mweusi wanamuona kama takataka halafu wakija kwetu kwasababu ya upumbavu wa watawala wetu ndio wanao pewa kipaumbela cha miradi yote ya serikali.
Wakiondoka ndo zitaisha shida zako?
 
Hii hoja haina mashiko, kumbukeni hawa ndugu zetu wenye asili ya Kiasia na Kiarabu wengi wao ni Wafanyabiashara, tokea siasa za mdumo wa vyama vingi ulipoingia Nchini kuna baadhi yao walijaribu kuingia kwenye vyama vya Upinzani lakini chamoto walikiona kutoka kwenye serikali ya chama cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom