wahi tiketi za yanga mwenge puma

wahi tiketi za yanga mwenge puma

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
kwamliopo MWENGE na maeneo kalibu na MWENGE fikeni sheli ya puma hapo mataa ya MWENGE kwani kuna watu msululu kutoka ubungo wanakuja kununua MWENGE .
mkifika hapo mtaona kuna HAICE nyeupe imepaki hapo ndio inaziuza tiketi hizo
 
Mie nimeshachukua pale uwanja wa Taifa, hakuna hata foleni hadi raha, kwa anayetaka nimnunulie anirushie pesa kwa m-pesa then kesho mchana atanikuta pale uwanja wa taifa nimpatie tiketi yake, sio lazima lakini
 
Back
Top Bottom