Waheshimiwa DOM

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,484
Embu muone huyu mbunge anavyokodolea macho kifua cha mwenzie!!Sidhani kama anamsikiliza anachosema hapo!!!
 
Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba (R) akiwa na Mbunge vitimaalumu mkoa Shinyanga Esther Bulaya katika viwanja va Bunge

Huyu Serukamba mbona kama mawazo kahamishia kwingine?
 
Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba (R) akiwa na Mbunge vitimaalumu mkoa Shinyanga Esther Bulaya katika viwanja va Bunge

Huyu Serukamba mbona kama mawazo kahamishia kwingine?

Hahahahaha...........mchungaji kwa uchokozi sikuwezi,halafu umemuona mheshimiwa wa kiume anavyorembua...?

Huyo ndiye Rev Masa!

Huachagi kunivunja mbavu!!

Upo lakini?
 
Ah, anajaribu kupata picha. Safi sana mleta picha lete nyingi za hivi. Hivi hamna sheria ya kuwataka waje na wenza wao mjengoni?
 
Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba (R) akiwa na Mbunge vitimaalumu mkoa Shinyanga Esther Bulaya katika viwanja va Bunge

Huyu Serukamba mbona kama mawazo kahamishia kwingine?

Hapo kwenye kekundu?!, mi nadhani wewe ndo umehamishia mawazo kwingine!, nilikuwa nauliza tu.
 
Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba (R) akiwa na Mbunge vitimaalumu mkoa Shinyanga Esther Bulaya katika viwanja va Bunge

Huyu Serukamba mbona kama mawazo kahamishia kwingine?

Cheki jicho kalielekeza wapi???? Ila ni mwanaume bana so anajarib kufanya assessment!
 
Kama sijakosea picha unayomaanisha ndiyo hiyo niliyoweka hapo juu...Esther Bulaya Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Shinyanga anajiongelesha mwenyewe tu hapo.
 
Lakini huyu mama wa viti maalum anaonekana mhhh...
 
Rev,
Leo umeniachahooooi, sikuwahi kufurahia posts zako ila hii itanipa usingizi mzuri leo. Mawazo ya mh....yapo wapi vileeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…